Rais Samia amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ochalla Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC)

images (6).png
 
Rais Samia amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ochalla Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC). Jenerali Mabeyo kwa sasa ana umri wa miaka 65, inawezekana ndiyo anastaafu na maandalizi ya mrithi wake yameanza.

Inasemwa kuwa mtu anayeshika nafasi ya CDF ni mwenye cheo cha Brigedia Jenerali, ambapo ikiwa Rais hawataki wenye vyeo hivyo kushika nafasi hiyo basi option aliyonayo ni kuwaondoa watu hao jeshini ili kumpa unafuu wa kuongoza jeshi mtu atayemteua kushika nafasi ya CDF. JPM baada ya kumteua Mabeyo inasemwa kuwa Mabeyo alipata upinzani kutoka kwa mabrigedia wengine na ndipo wakaondoshwa jeshini kwa kupewa teuzi sehemu mbalimbali ili Jenerali Mabeyo aongoze jeshi vyema.

Uteuzi wa Brigedia Mabongo inaweza kuwa ndio utekelezaji wa OPTION ya kuwaondoa watu hawa jeshini na pia inaweza kuwa ishara kuwa CDF mpya atapatikana karibuni. Ingawa sijui kama uteuzi wa huyu brigedia unamuondoa jeshini (kwa maana ya kuendelea na majukumu ya kila siku ya kijeshi) au la. Wenye uelewa na haya mambo tupeni ufafanuzi.

View attachment 2134005
Yaani umeandika hisia zako kwa kiwango cha chini sana. CDF Mabeyo atastaaafu wakati wowote kutokana na Umri; siyo kwa sababu ya Rais kutompenda. Rais ana mamlaka ya kumpandisha cheo askari yoyote na kumfanya mkuu wa majeshi ikimpendeza; hana haja ya kufukuza majenerali wengine. Nyerere alimpandisha Luteni Kanali Twalipo kuwa Major General na Mkuu wa Majeshi. Mwenyekiti wa bodi yoyote huwa haachi kazi zake za kila siku; tuna maprofesa wa chuo ambao ni wenyeviti wa bodi mbalimbali na bado wanafundisha. Halafu kwa taarifa yako tu, hata general Mabongo yuko kwenye umri wa kustaafu, kwani alisoma darasa moja na General Mohammed aliyepelekwa kwenye ubalozi wa Uturuki, ambaye naye umri wake w akustaafu ulishakaribia.
 
Kwanza huyo mtoa mada amechemka sana. General Mabongo amestaafu 2018 au 2019.

Ni kweli alikuwa mkuu wa idara ya tehama wizara ya Ulinzi
 
Wabongo kufikiria uteuzi teuzk tu kila eneo akili za kina Mheshimiwa HAMISI KIGWANGALA yule Hk Sasa hivi ukimwambia Tanzania itampa uraisi yule mtanzania mwenye elimu ya masjala nakwambia HK ataacha kujiita Dr Tena
 
Asante sana; ha mimi nilitegemea awe amestaafu jeshini kwa sababu ya umri. Yeye alikuwa kada moja na General Mohammed aliyekuwa Chief of staff; wote walisomea Alexandria, Misri kati ya mwaka 1982 na 1984, kwa hilyo ni lazima umri wao ulikuwa umeshakwenda sana.
 
Wabongo kufikiria uteuzi teuzk tu kila eneo akili za kina Mheshimiwa HAMISI KIGWANGALA yule Hk Sasa hivi ukimwambia Tanzania itampa uraisi yule mtanzania mwenye elimu ya masjala nakwambia HK ataacha kujiita Dr Tena
Mwambie HK kuwa rais anatakiwa ni mtu mwenye elimu isiyozidi darasa la saba kusudi awezea kuwasiliana na wananchi wa kawaida wakamwelewa vizuri. atasema alisoma mpaka darasa la saba lakini hakumaliza.
 
Kwanza si kweli kuwa mwenye sifa ya kuwa CDF ni ofisa wa cheo cha brigedia jenerali. Huyo ni one star general, ndiye the most junior katika ujenerali. CDF ni four star general, na mara nyingi hupandishwa cheo hicho akitokea cheo cha Lt Gen ambaye ni three star general.

Mleta uzi hana uelewa wa vyeo vay jeshini na SENIORITY zao!! Toka lini Brig. General akateuliwa kuwa CDF wa majeshi ya Tanzania? CDF wote wa JWTZ walioteuliwa wametokea kwenye THREE STAR GENERALS.
 
Rais Samia amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ochalla Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC). Jenerali Mabeyo kwa sasa ana umri wa miaka 65, inawezekana ndiyo anastaafu na maandalizi ya mrithi wake yameanza.

Inasemwa kuwa mtu anayeshika nafasi ya CDF ni mwenye cheo cha Brigedia Jenerali, ambapo ikiwa Rais hawataki wenye vyeo hivyo kushika nafasi hiyo basi option aliyonayo ni kuwaondoa watu hao jeshini ili kumpa unafuu wa kuongoza jeshi mtu atayemteua kushika nafasi ya CDF. JPM baada ya kumteua Mabeyo inasemwa kuwa Mabeyo alipata upinzani kutoka kwa mabrigedia wengine na ndipo wakaondoshwa jeshini kwa kupewa teuzi sehemu mbalimbali ili Jenerali Mabeyo aongoze jeshi vyema.

Uteuzi wa Brigedia Mabongo inaweza kuwa ndio utekelezaji wa OPTION ya kuwaondoa watu hawa jeshini na pia inaweza kuwa ishara kuwa CDF mpya atapatikana karibuni. Ingawa sijui kama uteuzi wa huyu brigedia unamuondoa jeshini (kwa maana ya kuendelea na majukumu ya kila siku ya kijeshi) au la. Wenye uelewa na haya mambo tupeni ufafanuzi.

View attachment 2134005
Vitu. Viwili visivyo na mahusiano kabisa,
Mtu kuteuliwa kuwa mwenyekiti wa bodi na mtu kuandaliwa kuwa CDF!!
Ni Sawa na kusema kwa vile Russia imeivamia Ukraine,basi ni dalili Mbowe!ataachiwa huru hivi karibuni!
 
Rais Samia amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ochalla Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC). Jenerali Mabeyo kwa sasa ana umri wa miaka 65, inawezekana ndiyo anastaafu na maandalizi ya mrithi wake yameanza.

Inasemwa kuwa mtu anayeshika nafasi ya CDF ni mwenye cheo cha Brigedia Jenerali, ambapo ikiwa Rais hawataki wenye vyeo hivyo kushika nafasi hiyo basi option aliyonayo ni kuwaondoa watu hao jeshini ili kumpa unafuu wa kuongoza jeshi mtu atayemteua kushika nafasi ya CDF. JPM baada ya kumteua Mabeyo inasemwa kuwa Mabeyo alipata upinzani kutoka kwa mabrigedia wengine na ndipo wakaondoshwa jeshini kwa kupewa teuzi sehemu mbalimbali ili Jenerali Mabeyo aongoze jeshi vyema.

Uteuzi wa Brigedia Mabongo inaweza kuwa ndio utekelezaji wa OPTION ya kuwaondoa watu hawa jeshini na pia inaweza kuwa ishara kuwa CDF mpya atapatikana karibuni. Ingawa sijui kama uteuzi wa huyu brigedia unamuondoa jeshini (kwa maana ya kuendelea na majukumu ya kila siku ya kijeshi) au la. Wenye uelewa na haya mambo tupeni ufafanuzi.

View attachment 2134005
Brigedia general,,,one star
Major general,,,,,,,,two star
Ltn general.......three star
Full general.........four star
 
Hata mkuu wa JKT hawezi kuwa Brigedia sembuse JWTZ?

Halafu kuna tetesi Maj. Gen Suleiman Mzee atarudishwa JW muda wowote kuanzia mwezi mei, itakuwa kuna jambo
 
JF sisi hizi imekuwa jukwaa la wajinga wengi.
Ukijua kusoma na kuandika basi tu inatosha.Hatuna moral authority ya kulikosoa bunge likiwa na wabunge wa darasa la saba.
Miaka ya nyuma ulikuwa ukiingia JF unakuta mada za kuchangamsha akili siku hizi JF imekuwa at par na vijiwe vya kahawa.
Wanaochangia hali ni moderators ambao wameachia wajinga wa take over JF.
JF ilipokuwa JF ukileta mada za kijinga inapigwa stop.
Where we dare express ourselves freely imekuwa kijiwe cha kahawa.
 
Huyo Mzee kama namuona vile.....akiwa CDF...haya tusubiri
 
Rais Samia amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ochalla Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC). Jenerali Mabeyo kwa sasa ana umri wa miaka 65, inawezekana ndiyo anastaafu na maandalizi ya mrithi wake yameanza.

Inasemwa kuwa mtu anayeshika nafasi ya CDF ni mwenye cheo cha Brigedia Jenerali, ambapo ikiwa Rais hawataki wenye vyeo hivyo kushika nafasi hiyo basi option aliyonayo ni kuwaondoa watu hao jeshini ili kumpa unafuu wa kuongoza jeshi mtu atayemteua kushika nafasi ya CDF. JPM baada ya kumteua Mabeyo inasemwa kuwa Mabeyo alipata upinzani kutoka kwa mabrigedia wengine na ndipo wakaondoshwa jeshini kwa kupewa teuzi sehemu mbalimbali ili Jenerali Mabeyo aongoze jeshi vyema.

Uteuzi wa Brigedia Mabongo inaweza kuwa ndio utekelezaji wa OPTION ya kuwaondoa watu hawa jeshini na pia inaweza kuwa ishara kuwa CDF mpya atapatikana karibuni. Ingawa sijui kama uteuzi wa huyu brigedia unamuondoa jeshini (kwa maana ya kuendelea na majukumu ya kila siku ya kijeshi) au la. Wenye uelewa na haya mambo tupeni ufafanuzi.

View attachment 2134005
Mleta mada kabla ya kuleta Mada za kijeshi kwanza uwe na uhakika na utafiti kwa kile unachokileta,,Jeshi ni taasisi nyeti ambayo kama hauko makin unaweza lisha watu matango pori,,

Kwa ufupi huwezi kuwa polisi aina ya OCS ukarukishwa kuwa mkuu wa RPC.

Kwa ufafanuzi mara zote ,vyeo vya jeshi vya jeshi viko hivi kuanzia na oficcer wa chini kabla haujafika kwenye Generali mwenyewe,,

1.kwa cheo cha kwanza cha officer wa chini wa jeshi anaitwa Oficcer Cadet au anaitwa Ofisa mteule,mara nyingi huyu anateuliwa na kupelekwa mafunzo ya kiofisa kwa ajili ya kuja kuwa Luteni usu,na huyu afisa mteule huwa anapewa nyota moja ambayo ukitaka kumjua nyota yake hua rangi ya dhahabu kawaida kama zingine ila iko kwenye kivuli cha rangi nyeupe katikati,

2. Luteni usu,huyu ni afisa wa jeshi au second Lieutenant,huyu ni afisa wa jeshi kwa cheo cha Luten kamili ngazi ya pili mwenye nyota kamili moja,,na ukitaka kutoutisha na officer candidate huyu nyota yake inakuwa haiko kwenye kivuli cheupe,

3. Luteni,hii ni ngazi ya kiofisa ambayo huyu askari anakuwa ni Luteni ngazi ya juu yenye nyota mbili,

4. Capteni, huyu ni officer wa jeshi mwenye nyota tatu begani,so ukitoka Luteni unaenda Capteini,

NB: Hivi vyeo vitatu kwa maana Luteni usu,Luteni na Capteni ni maofisa wa jeshi kwenye rank ya Junior officers.

Kuanzia namba tano(5) mpaka 7 hapa ndo tunaingia kwa magwiji wa siri za jeshi na nchi kwa ujumla,hawa wanaitwa wasaidizi wa kutoa maamzi ya jeshi.

5.MEJA, hiki ni cheo cha juu cha kijeshi baada ya Capteni, na ili kumjua askari ni MEJA jeshini utamkuta begani gwanda lake lina nembo ya BIBI NA BWANA,,huyo ndo MEJA

6. LUTENI KANALI, hiki ni cheo cha juu cha jeshi baada ya Meja,na kumtambua askari kuwa ni Luteni kanali anagalia begani gwanda lake litakua lina nembo ya BIBI NA BWANA halafu na NYOTA MOJA,

7. KANALI,hiki ni cheo cha juu cha jeshi baada ya Luteni kanali,na ili kumtambua kanali utamuona gwanda lake lina nembo ya BIBI NA BWANA na NYOTA MBILI BEGANI,

NB.kuanzia cheo cha Meja,Luteni kanali na kanali hawa wanaitwa Senior officcers jeshini,

Kuanzia namba nane 8 mpaka magogoni huko ndo watoa maamzi kamili na wenye kumiliki siri za jeshi na nchi kwa ujumla.

8. BRIGEDIA JENERALI, huyu ni afisa wa jeshi wa juu baada ya kanali ambaye yuko kwenye sytem nyeti,,na ukitaka kumjua utamtambua kwa kuona bega lake kwa gwanda likiwa na nembo ya BIBI NA BWANA, NYOTA MOJA na MKASI,gari yake inakua na nembo ya nyota moja mbele,huyo ndie Brigedia Generali wa jeshi,,gwijiiiiiii

9. MEJA JENERALI, hiki ni cheo cha juu cha jeshi baada ya Brigedia Jenerali,,haya majina yana uzito wake kuyataja sio kitoto, na ukitaka kumtambua akiwa na gwanda,ww anagalia utaona bega limechafuka vitu vifuatavyo, NEMBO YA BIBI NA BWANA,NYOTA MBILI na MKASI, gari yake inakua na nembo ya nyota mbili,huyo ndio MEJA JENERALI

10. LUTENI JENERALI,cheo cha juu zaid jeshini baada ya Meja jenerali,,hatariii
Ukitaka kumtambua huyu high rank officer,ibia macho yako juu ya gwanda la bega lake utaona nembo zifuatazo zimesimama, nembo ya BIBI NA BWANA, NYOTA TATU na MKASI,gari yake inakua na nembo ya nyota tatu, huyo ndo MEJA JENERALI JESHINI,,ni wachache sana,

11. JENERALI,,,,,,,,,,,,,,,,,hiki cheo kinaitwa FOUR STAR RANK,na hiki ndicho cheo cha juuuu sanaaaaaa jeshini hapa ndo unampata CDF,,na gari yake ina nembo ya nyota 4.

NB: Kuanzia cheo cha Brigedia Generali, Meja jenerali, Luteni jenerali na Jenerali hawa ni kundi la maoficcer wa juu sana jeshini,,linaitwa GENERALI/FLAG OFFICERS.

Kwahiyo CDF anatoka kundi la Three star generals,kwa maana anatoka kwa oficcers wa LUTENI JENERALI akiwa na Three star general rank na kupandishwa kuwa A four star General rank,,na sio kwamba CDF anatoka kwenye kundi la BRIGEDIA JENERALI,,hapa mbali saanaa na ikitokea ni mara moja kwa miaka mia,,

Wajuzi,karibuni!!!
 
Kwanza si kweli kuwa mwenye sifa ya kuwa CDF ni ofisa wa cheo cha brigedia jenerali. Huyo ni one star general, ndiye the most junior katika ujenerali. CDF ni four star general, na mara nyingi hupandishwa cheo hicho akitokea cheo cha Lt Gen ambaye ni three star general.
Umejibu vyema ila uandike vizuri hizo herufi.
 
Back
Top Bottom