Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ndio!!jamaa wananishambulia BILA kujua huo ndio UKWELI wenyewe!!Na huenda akatokea upande uleee 👉⛵
Yaani umeandika hisia zako kwa kiwango cha chini sana. CDF Mabeyo atastaaafu wakati wowote kutokana na Umri; siyo kwa sababu ya Rais kutompenda. Rais ana mamlaka ya kumpandisha cheo askari yoyote na kumfanya mkuu wa majeshi ikimpendeza; hana haja ya kufukuza majenerali wengine. Nyerere alimpandisha Luteni Kanali Twalipo kuwa Major General na Mkuu wa Majeshi. Mwenyekiti wa bodi yoyote huwa haachi kazi zake za kila siku; tuna maprofesa wa chuo ambao ni wenyeviti wa bodi mbalimbali na bado wanafundisha. Halafu kwa taarifa yako tu, hata general Mabongo yuko kwenye umri wa kustaafu, kwani alisoma darasa moja na General Mohammed aliyepelekwa kwenye ubalozi wa Uturuki, ambaye naye umri wake w akustaafu ulishakaribia.Rais Samia amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ochalla Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC). Jenerali Mabeyo kwa sasa ana umri wa miaka 65, inawezekana ndiyo anastaafu na maandalizi ya mrithi wake yameanza.
Inasemwa kuwa mtu anayeshika nafasi ya CDF ni mwenye cheo cha Brigedia Jenerali, ambapo ikiwa Rais hawataki wenye vyeo hivyo kushika nafasi hiyo basi option aliyonayo ni kuwaondoa watu hao jeshini ili kumpa unafuu wa kuongoza jeshi mtu atayemteua kushika nafasi ya CDF. JPM baada ya kumteua Mabeyo inasemwa kuwa Mabeyo alipata upinzani kutoka kwa mabrigedia wengine na ndipo wakaondoshwa jeshini kwa kupewa teuzi sehemu mbalimbali ili Jenerali Mabeyo aongoze jeshi vyema.
Uteuzi wa Brigedia Mabongo inaweza kuwa ndio utekelezaji wa OPTION ya kuwaondoa watu hawa jeshini na pia inaweza kuwa ishara kuwa CDF mpya atapatikana karibuni. Ingawa sijui kama uteuzi wa huyu brigedia unamuondoa jeshini (kwa maana ya kuendelea na majukumu ya kila siku ya kijeshi) au la. Wenye uelewa na haya mambo tupeni ufafanuzi.
View attachment 2134005
Kwanza huyo mtoa mada amechemka sana. General Mabongo amestaafu 2018 au 2019.Yaani umeandika hisia zako kwa kiwango cha chini sana. CDF Mabeyo atastaaafu wakati wowote kutokana na Umri; siyo kwa sababu ya Rais kutompenda. Rais ana mamlaka ya kumpandisha cheo askari yoyote na kumfanya mkuu wa majeshi ikimpendeza; hana haja ya kufukuza majenerali wengine. Nyerere alimpandisha Luteni Kanali Twalipo kuwa Major General na Mkuu wa Majeshi. Mwenyekiti wa bodi yoyote huwa haachi kazi zake za kila siku; tuna maprofesa wa chuo ambao ni wenyeviti wa bodi mbalimbali na bado wanafundisha. Halafu kwa taarifa yako tu, hata general Mabongo yuko kwenye umri wa kustaafu, kwani alisoma darasa moja na General Mohammed aliyepelekwa kwenye ubalozi wa Uturuki, ambaye naye umri wake w akustaafu ulishakaribia.
Asante sana; ha mimi nilitegemea awe amestaafu jeshini kwa sababu ya umri. Yeye alikuwa kada moja na General Mohammed aliyekuwa Chief of staff; wote walisomea Alexandria, Misri kati ya mwaka 1982 na 1984, kwa hilyo ni lazima umri wao ulikuwa umeshakwenda sana.Kwanza huyo mtoa mada amechemka sana. General Mabongo amestaafu 2018 au 2019.
Ni kweli alikuwa mkuu wa idara ya tehama wizara ya Ulinzi
Mwambie HK kuwa rais anatakiwa ni mtu mwenye elimu isiyozidi darasa la saba kusudi awezea kuwasiliana na wananchi wa kawaida wakamwelewa vizuri. atasema alisoma mpaka darasa la saba lakini hakumaliza.Wabongo kufikiria uteuzi teuzk tu kila eneo akili za kina Mheshimiwa HAMISI KIGWANGALA yule Hk Sasa hivi ukimwambia Tanzania itampa uraisi yule mtanzania mwenye elimu ya masjala nakwambia HK ataacha kujiita Dr Tena
Mtu wa hovyo sana wewe kwa mawazo hayo. Kwa hyo akiwa mvaa rosari kwako safi tu. Hovyo sana wewe.Lazima mteuliwa awe mvaa barghashia kichwani na kanzu nyeupe !!
Watakupinga ila ndio ukweli huoLazima mteuliwa awe mvaa barghashia kichwani na kanzu nyeupe !!
Kwanza si kweli kuwa mwenye sifa ya kuwa CDF ni ofisa wa cheo cha brigedia jenerali. Huyo ni one star general, ndiye the most junior katika ujenerali. CDF ni four star general, na mara nyingi hupandishwa cheo hicho akitokea cheo cha Lt Gen ambaye ni three star general.
Vitu. Viwili visivyo na mahusiano kabisa,Rais Samia amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ochalla Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC). Jenerali Mabeyo kwa sasa ana umri wa miaka 65, inawezekana ndiyo anastaafu na maandalizi ya mrithi wake yameanza.
Inasemwa kuwa mtu anayeshika nafasi ya CDF ni mwenye cheo cha Brigedia Jenerali, ambapo ikiwa Rais hawataki wenye vyeo hivyo kushika nafasi hiyo basi option aliyonayo ni kuwaondoa watu hao jeshini ili kumpa unafuu wa kuongoza jeshi mtu atayemteua kushika nafasi ya CDF. JPM baada ya kumteua Mabeyo inasemwa kuwa Mabeyo alipata upinzani kutoka kwa mabrigedia wengine na ndipo wakaondoshwa jeshini kwa kupewa teuzi sehemu mbalimbali ili Jenerali Mabeyo aongoze jeshi vyema.
Uteuzi wa Brigedia Mabongo inaweza kuwa ndio utekelezaji wa OPTION ya kuwaondoa watu hawa jeshini na pia inaweza kuwa ishara kuwa CDF mpya atapatikana karibuni. Ingawa sijui kama uteuzi wa huyu brigedia unamuondoa jeshini (kwa maana ya kuendelea na majukumu ya kila siku ya kijeshi) au la. Wenye uelewa na haya mambo tupeni ufafanuzi.
View attachment 2134005
Brigedia general,,,one starRais Samia amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ochalla Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC). Jenerali Mabeyo kwa sasa ana umri wa miaka 65, inawezekana ndiyo anastaafu na maandalizi ya mrithi wake yameanza.
Inasemwa kuwa mtu anayeshika nafasi ya CDF ni mwenye cheo cha Brigedia Jenerali, ambapo ikiwa Rais hawataki wenye vyeo hivyo kushika nafasi hiyo basi option aliyonayo ni kuwaondoa watu hao jeshini ili kumpa unafuu wa kuongoza jeshi mtu atayemteua kushika nafasi ya CDF. JPM baada ya kumteua Mabeyo inasemwa kuwa Mabeyo alipata upinzani kutoka kwa mabrigedia wengine na ndipo wakaondoshwa jeshini kwa kupewa teuzi sehemu mbalimbali ili Jenerali Mabeyo aongoze jeshi vyema.
Uteuzi wa Brigedia Mabongo inaweza kuwa ndio utekelezaji wa OPTION ya kuwaondoa watu hawa jeshini na pia inaweza kuwa ishara kuwa CDF mpya atapatikana karibuni. Ingawa sijui kama uteuzi wa huyu brigedia unamuondoa jeshini (kwa maana ya kuendelea na majukumu ya kila siku ya kijeshi) au la. Wenye uelewa na haya mambo tupeni ufafanuzi.
View attachment 2134005
Kama Mabeyo?Lazima mteuliwa awe mvaa barghashia kichwani na kanzu nyeupe !!
Mleta mada kabla ya kuleta Mada za kijeshi kwanza uwe na uhakika na utafiti kwa kile unachokileta,,Jeshi ni taasisi nyeti ambayo kama hauko makin unaweza lisha watu matango pori,,Rais Samia amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ochalla Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC). Jenerali Mabeyo kwa sasa ana umri wa miaka 65, inawezekana ndiyo anastaafu na maandalizi ya mrithi wake yameanza.
Inasemwa kuwa mtu anayeshika nafasi ya CDF ni mwenye cheo cha Brigedia Jenerali, ambapo ikiwa Rais hawataki wenye vyeo hivyo kushika nafasi hiyo basi option aliyonayo ni kuwaondoa watu hao jeshini ili kumpa unafuu wa kuongoza jeshi mtu atayemteua kushika nafasi ya CDF. JPM baada ya kumteua Mabeyo inasemwa kuwa Mabeyo alipata upinzani kutoka kwa mabrigedia wengine na ndipo wakaondoshwa jeshini kwa kupewa teuzi sehemu mbalimbali ili Jenerali Mabeyo aongoze jeshi vyema.
Uteuzi wa Brigedia Mabongo inaweza kuwa ndio utekelezaji wa OPTION ya kuwaondoa watu hawa jeshini na pia inaweza kuwa ishara kuwa CDF mpya atapatikana karibuni. Ingawa sijui kama uteuzi wa huyu brigedia unamuondoa jeshini (kwa maana ya kuendelea na majukumu ya kila siku ya kijeshi) au la. Wenye uelewa na haya mambo tupeni ufafanuzi.
View attachment 2134005
Umejibu vyema ila uandike vizuri hizo herufi.Kwanza si kweli kuwa mwenye sifa ya kuwa CDF ni ofisa wa cheo cha brigedia jenerali. Huyo ni one star general, ndiye the most junior katika ujenerali. CDF ni four star general, na mara nyingi hupandishwa cheo hicho akitokea cheo cha Lt Gen ambaye ni three star general.
Sio kweliLazima mteuliwa awe mvaa barghashia kichwani na kanzu nyeupe !!