Rais Samia ameonesha udhaifu mkubwa; sasa itaonekana kesi dhidi wapinzani zina mkono wa Serikali

Kwa Ushahidi ambao ulishaandaliwa na Kibatala&Co, Serikali ingetafuta pa kujificha, na isingepaona! Wala sio viongozi wa kidini waliosababisha aachiwe huru! Viongozi hawa wametumika tu ili kuwa kijisababu lakini Serikali imeogopa kuvuliwa nguo hadharani!
 

Kweli kabisa. Na hili linadhihirisha wazi kwamba hakuna uhuru wa mahakama. Na rais au serikali ndiyo yenye mamlaka yote. Kwahiyo ni afadhali mtu asiende kabisa mahakamani badala yake aiombe serikali imsaidie.

Inaonesha hakuna uhuru wa mahakama, hasa kwenye kesi zinazohusisha siasa au wanasiasa. Hivyo waachane na kesi za michongo! Tuanze upyaaa.

Na hapa ni vigumu kuwa na imani hata kwa kesi nyinginezo. Kuna uwezekano wa watz kukosa imani na mahakama na Tz kutajwa/kujuilikana kama nchi isiyo na uhuru wa kisheria; zaidi maamuzi yanatokana na amri au maoni ya kiongozi mkuu,kumtia mtuhumiwa hatiani au kuachiwa huru
 
Mbuzi kasoro mkia wee
Peleka uchadema wako huko. Kazi yenu kutukana hamna lolote. Mtajidai kesi mumeshinda wakati mumekesha kwa viongozi wa dini ili kuepa mkono wa sheria.
 
Kumbe hata akili huna Kwa hiyo kwa roho yako mbaya ya kishetani unapenda watu waonewe.
 
DHAIFU ni wewe MAMA KAGUNDUA KUWA ILE KESI NI YA UONGO
 
Peleka uchadema wako huko. Kazi yenu kutukana hamna lolote. Mtajidai kesi mumeshinda wakati mumekesha kwa viongozi wa dini ili kuepa mkono wa sheria.
Dada unaumia ukiwa wap?,kama vp chomoa
 
Reactions: Qwy
Mnao uhuru wa kukatia rufaa maamuzi ya DPP, sioni sababu ya wewe na wenzako kuja kulalamika humu. Kama mnao ushahidi nendeni mkakate rufaa
 
Reactions: Qwy
Huu ni ujinga.
 
hili ni pigo kubwa sana kwa mama
 
Umeudhika wewe peke yako...Wala sidhani kama huu ni ukweli unataka tu kuchonganisha watu...waliohuzunika wanafahamika acha unafiki
 
Reactions: Qwy
Kuna video zikimuonyesha Sabaya akifanya uhalifu. DPP ameshindwa kuleta chembe ya ushahidi inayomuhusisha Mbowe na ugaidi. Au mlitaka kumfunga kimenomeno?

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…