Rais Samia amepambana kishujaa na kijasiri kulifikisha hapa taifa kimaendeleo

Sifia kidogo na Mashoga ili update uungwaji mkono na NGOs na Jamii kwa ujumla pesa nje nje.

Unga mkono Ushoga upate pesa chap chap
Nimekuachia wewe ifanye kazi hiyo ya kishetani na kiharamia iliyo laana hata mbele za Mwenyezi MUNGU
 
Ushetani na Uharamia ni kunyamazia Wezi na Wapigaji wa Tozo na Kodi za Watanzania unaofanywa na Makada wa CCM dhidi ya Wananchi masikini.
 
CCM imeshinda na Itaendelea kushinda katika chaguzi zote kutokana na kuaminiwa na kukubalika na watanzania,kunakotokana na kuwa na Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watu,kujari na kuwa na uchungu na maisha ya watu,kujibu kero na changamoto za watu,kuwa na ilani inayoendana na mahitaji ya watu na wakati,kuwa karibu ya wananchi na kuwasikiliza kero zao, kubadilika kulingana na wakati,kuwa na viongozi na wagombea wanaokubalika na watu na wakati wote kuzungumza ajenda za watu zinazo gusa maisha Yao.

Hata ije tume ya uchaguzi kutoka marekani bado CCM itashinda kwa kishindo Tuuuuuuuuuuu ,kwa kuwa mamilioni ya watanzania Wana Iman na CCM na wanaipenda na kuikubali Sana
Hata ukienda Milembe ukiwauliza wale vichaa watakwambia CCM haijawahi kushinda bila wizi wa kura!
 
Ushetani na Uharamia ni kunyamazia Wezi na Wapigaji wa Tozo na Kodi za Watanzania unaofanywa na Makada wa CCM dhidi ya Wananchi masikini.
Wezi wote na wababaishaji hawapo salama katika uongozi huu shupavu na madhubuti wa serikali ya CCM, Hakuna atakaye ukwepa mkono wa sheria na atakayewajibika kwa matendo Yake
 
Asante mama...
  • Wezi wa leo wanakula kwa urefu wa kamba zao!
  • Waliokuwa wanamega maelfu leo wanatafuna mamilioni!
  • Waliokuwa wanatafuna mamilioni leo wanakula mabilioni!
  • Waliokuwa wanakula mabilioni, hivi leo wanameza matrilioni!
  • Ujasiri wa wezi hawa unaimarika siku hadi siku!
  • Pia idadi yao inaongezeka kwa kasi ya ajabu!
  • Uchumi unakua huku umasikini ukizidi kuimarika!
Asante mama...
 
Hiyo ilikuwa silaha kwa wakosoaji enzi za mwendazake. Saiv haina dili.
Kwa Sasa mamilioni ya watanzania wanamuunga mkono mh Rais kutokana na juhudi kubwa alizofanya katika ujenzi wa Taifa letu,uchapa kazi wa serikali yake imewaridhisha watanzania
 
Ndugu yangu una njaa Kali na bahati mbaya samia mwenyewe kakufungia viooo
 
Mimi Ni mkulima ninayetumia mikono yangu kujipatia chakula kutoka shambani ,jasho langu nguvu yangu ndio kula yangu, nampongeza Rais Samia kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka na siyo kwa ajili ya kutafuta hisani Kama unavyofikiria wewe
 
CCM imeshinda na Itaendelea kushinda katika chaguzi zote kutokana na kuaminiwa na kukubalika na watanzania,kunakotokana na kuwa na Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watu,kujari na kuwa na uchungu na maisha ya watu,kujibu kero na changamoto za watu,kuwa na ilani inayoendana na mahitaji ya watu na wakati,kuwa karibu ya wananchi na kuwasikiliza kero zao, kubadilika kulingana na wakati,kuwa na viongozi na wagombea wanaokubalika na watu na wakati wote kuzungumza ajenda za watu zinazo gusa maisha Yao.

Hata ije tume ya uchaguzi kutoka marekani bado CCM itashinda kwa kishindo Tuuuuuuuuuuu ,kwa kuwa mamilioni ya watanzania Wana Iman na CCM na wanaipenda na kuikubali Sana
Hata ukiwauliza wale wa Milembe hospital Dodoma,watakwambia haijatokea CCM ikashinda uchaguzi bila wizi wa kura!
 
Wenye akili Timamu wote Wana Imani kubwa Sana na CCM , achana na vichaa na wenye mawazo finyu Aina yako wasiotambua juhudi za CCM katika kuliletea maendeleo Taifa letu
 
Asante mama...
  • Wezi wa leo wanakula kwa urefu wa kamba zao!
  • Waliokuwa wanamega maelfu leo wanatafuna mamilioni!
  • Waliokuwa wanatafuna mamilioni leo wanakula mabilioni!
  • Waliokuwa wanakula mabilioni, hivi leo wanameza matrilioni!
  • Ujasiri wa wezi hawa unaimarika siku hadi siku!
  • Pia idadi yao inaongezeka kwa kasi ya ajabu!
  • Uchumi unakua huku umasikini ukizidi kuimarika!
Asante mama...
Acha ngonjera za uongo hapa
 
CAG report, we need action na si vikao kuwajadili vibaka.
 
Back
Top Bottom