Rais Samia amepata wapi mamlaka ya kusema anasitisha shughuli za bunge?

Ningeshauri wanasheria waende mahakamani kuomba tafsiri ya kikatiba kuhusu Rais kusitisha shughuli za Bunge
 
Usiwe unamchukulia sa100 serious mkuu, utaumiza kichwa chako buure!.
 
-UNAPOVUNJA BUNGE MAFAO NI LAZIMA YASOME MKUU-
Hisia binafsi.,zipuuzwe tu,waupande ule wanajidanganya kweli.


 
-UNAPOVUNJA BUNGE MAFAO NI LAZIMA YASOME MKUU-
Hisia binafsi.,zipuuzwe tu,waupande ule wanajidanganya kweli.
Kama hakuna fedha za kulipa hayo mafao sasa kulikuwa na ulazimq gani wa Rais kwenda kuhutubia Bunge kwa mbwembwe na kufanya kitu ambacho gakipo kikatiba "kusitisha shughuli za Bunge " si angesubiri hadi hiyo tarehe 3/8 ndio akaenda kulivunja hilo bunge
 
Ukisema kiongozi wa nchi si ana cabinet yake yaku mshauri juu ya swala hilo? Au wewe ni miongoni mwa hiyo cabinet ya ushauri
Kama ana cabinet alafu hiyo cabinet haijaona mwanya kama huu au mapungufu kama aya basi hiyo cabinet yote ni wakufukuzwa kazi
 
Mimi sijafatilia ila nikuulize,hakutumia neno "kwa mamlaka niliyo nayo"? Ila pengine alionea huruma KODI ZENU so kasitisha kabla ya kuvunja!
 
Katiba kwa nchi yetu haina umuhimu wowote. Katiba hiyo hiyo inasema Rais hawezi kushitakiwa.
 
Mimi sijafatilia ila nikuulize,hakutumia neno "kwa mamlaka niliyo nayo"? Ila pengine alionea huruma KODI ZENU so kasitisha kabla ya kuvunja!
Kaonea huruma kivipi kwani hao jamaa watastahili kulipwa mshahara wa mwezi wa saba na wa hizo siku 3 za mwezi wa nane na
 
Ukishakuwa rais wa nchi za afrika unaweza fanya chochote na hakuna wa kukuuliza, hata kuruhusu polisi wafanye MENGINE.
 
Labda anatafuta mbinu za kupunguza cheche za moto kutoka kwa mmoja ya wabunge
 
Vifungu ulivyonukuu mbona ni dhahiri vinampa Rais mamlaka makubwa sana dhidi ya Bunge siyo ya kusitisha tu bali kulivunja kabisa Bunge pale anapoona halikubaliani na matakwa yake.
 
Ningeshauri wanasheria waende mahakamani kuomba tafsiri ya kikatiba kuhusu Rais kusitisha shughuli za Bunge
Ndio kalifunga hivyo. Spika akitamka hivyo maana yake halijavunjwa mpaka kipindi kijacho. Ila kwa rais mpaka awamu ijayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…