DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Rais Samia amekabidhiwa zawaidi mbalimbali alipotembela kituo cha utamaduni na makumbusho ya wasukuma Bujora,Kisesa mkoani mwanza, baadhi ya zawadi alizokabidhiwa ni kiti cha kichifu kutoka kwa watemi wa kisukuma, cheti cha shukrani na kikombe kutoka kwa wasukuma wa Oman na blanketi maalum kutoka kwa Princess wa Afrika ya Kusini.