THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Friends and our Enemies,
Kama Kuna ambao walidhani kwa kuwa huyu Rais Jinsia yake ni KE,basi wanaweza kuleta ubabe kwake na kutaka kufanya utawala wake uyumbe,
Huyo ni Amiri Jeshi Mkuu,VYOMBO vyote vya ulinzi na usalama vinatii na kuripoti kwake,lazima Heshima na adabu juu yake iwepo.
Enzi za mwendazake pamoja na mkono wake wa Chuma woote mnaojifanya kubweka Leo hii mlifyata mikia na wengine mlikimbia nchi,hizo kelele mbona hatuwahi kuziskia? hatukuskia kelele za maaskofu wala mashekhe,hatukuskia wanaharakati wala wazee wastaafu wakipiga mayowe.
Hakuna asiejua kuwa Gwajima amechezea mamlaka kwa kauli zake za hovyo na UCHOCHEZI,
Kanisa lake limefutwa na mamlaka zake za usajili,MNALALAMA kwake mnataka afanye kitu Gani.
Tundu Lissu alileta lugha za UCHOCHEZI vile vile kwa kusema anataka kukinukisha nchi hii kiwake ili lengo lake litimie,mkitaka polisi wafanye Nini.
Sasa,hizo kelele mnazopiga TAMBUENI KUWA Samia ni Kiongozi wa wote,wenye dini na wasio na dini,wanasiasa na wasio wanasiasa,wasomi na wajinga,maskini na matajiri na kadhalika.
Kama VYOMBO vya Dola vimeamua kuwachukulia hatua wahalifu lawama zisiende kwa Raisi.
Nchi hii inaongozwa kwa utawala wa SHERIA,acheni sheria zichukue mkondo wake.
Samia ni Rais ndiyo,, lakini hiyo haimfanyi kuwa juu ya maoni au ushauri wa raia wake. Heshima kwa kiongozi haifuti haki ya kutoa maoni ya tofauti.
Kwa hiyo, badala ya kushambulia wanaokosoa, wajengwe kwa hoja, na si vitisho. True patriotism means asking difficult questions, not blind loyalty.
Jamani naomba msameheni na huyu yeye ni wale wa kusoma na kuandika tu hata sheria haijui
Kama unaona haichukui mkondo wake, ni nani anayesababisha iwe hivyo?Friends and our Enemies,
Kama Kuna ambao walidhani kwa kuwa huyu Rais Jinsia yake ni KE,basi wanaweza kuleta ubabe kwake na kutaka kufanya utawala wake uyumbe,
Huyo ni Amiri Jeshi Mkuu,VYOMBO vyote vya ulinzi na usalama vinatii na kuripoti kwake,lazima Heshima na adabu juu yake iwepo.
Enzi za mwendazake pamoja na mkono wake wa Chuma woote mnaojifanya kubweka Leo hii mlifyata mikia na wengine mlikimbia nchi,hizo kelele mbona hatuwahi kuziskia? hatukuskia kelele za maaskofu wala mashekhe,hatukuskia wanaharakati wala wazee wastaafu wakipiga mayowe.
Hakuna asiejua kuwa Gwajima amechezea mamlaka kwa kauli zake za hovyo na UCHOCHEZI,
Kanisa lake limefutwa na mamlaka zake za usajili,MNALALAMA kwake mnataka afanye kitu Gani.
Tundu Lissu alileta lugha za UCHOCHEZI vile vile kwa kusema anataka kukinukisha nchi hii kiwake ili lengo lake litimie,mkitaka polisi wafanye Nini.
Sasa,hizo kelele mnazopiga TAMBUENI KUWA Samia ni Kiongozi wa wote,wenye dini na wasio na dini,wanasiasa na wasio wanasiasa,wasomi na wajinga,maskini na matajiri na kadhalika.
Kama VYOMBO vya Dola vimeamua kuwachukulia hatua wahalifu lawama zisiende kwa Raisi.
Nchi hii inaongozwa kwa utawala wa SHERIA,acheni sheria zichukue mkondo wake.
Awamu ya 4 tulikuwa na Dikteta Uchwara! Awamu hii tuna Iddi Amini Mama. Yaani ni zaidi ya Iddi Amini Dada.
Kama unaona haichukui mkondo wake, ni nani anayesababisha iwe hivyo?
kwa jinsi elimu yako ilivyo ndogo upo sahihi kushabikia hivyo sina la kukudaiWakati mnaendelea kuwatetea hao wahalifu, KUMBUKA kuwa Wana kesi ya kujibu.
Wote ni wachochezi,mmoja YUPO jela kwa kusema mengi ya hovyo ikiwamo na kutaka kuleta MACHAFUKO ya kukinukisha, mwingine kanisa lake limefutwa kwa kutukana mamlaka za juu kwa kutumia platforms za kanisa.
Ahsante sana ndugu kwa ujumbe mzuri.Friends and our Enemies,
Kama Kuna ambao walidhani kwa kuwa huyu Rais Jinsia yake ni KE,basi wanaweza kuleta ubabe kwake na kutaka kufanya utawala wake uyumbe,
Huyo ni Amiri Jeshi Mkuu,VYOMBO vyote vya ulinzi na usalama vinatii na kuripoti kwake,lazima Heshima na adabu juu yake iwepo.
Enzi za mwendazake pamoja na mkono wake wa Chuma woote mnaojifanya kubweka Leo hii mlifyata mikia na wengine mlikimbia nchi,hizo kelele mbona hatuwahi kuziskia? hatukuskia kelele za maaskofu wala mashekhe,hatukuskia wanaharakati wala wazee wastaafu wakipiga mayowe.
Hakuna asiejua kuwa Gwajima amechezea mamlaka kwa kauli zake za hovyo na UCHOCHEZI,
Kanisa lake limefutwa na mamlaka zake za usajili,MNALALAMA kwake mnataka afanye kitu Gani.
Tundu Lissu alileta lugha za UCHOCHEZI vile vile kwa kusema anataka kukinukisha nchi hii kiwake ili lengo lake litimie,mkitaka polisi wafanye Nini.
Sasa,hizo kelele mnazopiga TAMBUENI KUWA Samia ni Kiongozi wa wote,wenye dini na wasio na dini,wanasiasa na wasio wanasiasa,wasomi na wajinga,maskini na matajiri na kadhalika.
Kama VYOMBO vya Dola vimeamua kuwachukulia hatua wahalifu lawama zisiende kwa Raisi.
Nchi hii inaongozwa kwa utawala wa SHERIA,acheni sheria zichukue mkondo wake.
UnakazwaYeyote anaechezea Dola,Dola ikigeuka na kumchezea yeye hatutaki kuskia lawama za mwenye kulaumu.
Kipaombele namba moja nchi hii ni amani na utulivu,kenge atakaejaribu kucheza na hivyo vitu atashikishwa adabu kwa maslahi mapana ya nchi.
Hata wewe na huyo Iddi Amini Mama wako hamtaishi milele. Siku yenu na nyinyi ikifika, mtakufa tu hata kwa sumu. Shida iko wapi?Mtachagua sasa,kama ni kusuka au kunyoa...ila mkileta za kuleta ndiyo kama mnavyoona,Kila mtu atakufa na msalaba wake,tumewalea Lea sana.
Sasa Inatosha,hakuna tena kucheka Cheka na kima.
Mnaongea wenyewe hizi mada ili tuchangie then kesho tutekwe