Rais Samia ameruhusu utawala wa sheria ufanye kazi wengine mnalalama, tambueni urais ni taasisi

Kusema mbona wengi wamesema na hakuna walichofanywa.?

Huyo FALA anakuja kusema kwamba anaewatuma kutekwa watu ni yule mwenye mamlaka za Uteuzi,kisha mnataka aachwe?

Tena kauli hizo anazisemea kanisani kwake,aachwe yeye ni nani nchi hiii??

Yule SI FALA tuh kama mafala wengine?

Anasema anafufua WAFU,SI aendelee KUWAFUFUA WAFU Wake? matusi ya Nini sasa.
Mbona kama umepanick? Unaonekana kama mtu aliyejaa hofu
 
Kwahiyo "maridhiano" kwenu ni kusifiwa na kuabudiwa tu hata kwenye upuuzi mnaofanya?
Basi acha twende mwendo huu wa mateke , virungu na kurukishana vichura kwakuwa kwa mwendo huu naona kama ndio tutaelewana vizuri.
Nikukumbushe tu!
Nikukumbushe jambo moja tu!.
Wakati wa magufuli kuna watu walikimbia nchi na wengine walitiwa magerezani!.
Kati ya watu waliotiwa gerezani ni mdude nyagali.
Baada ya mama Samia kuingia madarakani mdude akatolewa gerezani!
Katika maneno ya mwanzo kabisa ambayo mdude aliyasema baada ya kutoka gerezani ni yafuatayo nami namnukuu!:
" NA HUYU MAMA TUTAMNYOA KWA WEMBE ULEULE TULIOMNYOA NAO MAGUFULI!" Mwisho wa kunukuu.
Wakati mdude anasema maneno hayo hapakuwa na utekaji wala ubinafsishaji wa bandari tatizo la aina yoyote.
Nchi ilikuwa imetulia na mama Samia alikuwa bado anaipanga serikali yake kupitia falsafa yake ya R4.
Watu wakaanza kumporomoshea matusi , mara ni mzanzibari, mara anaua watu, mara kauza bandari , mara nchi anaiuza kwa wajomba zake warabu!.
WEWE UNGEKUWA NDIE RAIS SAMIA UNGEFANYAJE?!
Mimi nasema mama Samia Bado ki rais mvumilivu sana kinyume na hivyo kama sio subira na uvumilivu wake nchi hii ingeharibika sana.
Lakini kuna mengine mengi anayasikia na kuyapuuza kama alivyosema kuwa atakuwa kama chura kiziwi!.
 
Friends and our Enemies,

Kama Kuna ambao walidhani kwa kuwa huyu Rais Jinsia yake ni KE,basi wanaweza kuleta ubabe kwake na kutaka kufanya utawala wake uyumbe,basi watambue wamedhania vibaya.

Huyo ni Amiri Jeshi Mkuu,VYOMBO vyote vya ulinzi na usalama vinatii na kuripoti kwake,lazima Heshima na adabu juu yake iwepo.

Enzi za mwendazake pamoja na mkono wake wa Chuma woote mnaojifanya kubweka Leo hii mlifyata mikia na wengine mlikimbia nchi,hizo kelele mbona hatuwahi kuziskia? hatukuskia kelele za maaskofu wala mashekhe,hatukuskia wanaharakati wala wazee wastaafu wakipiga mayowe.

Hakuna asiejua kuwa Gwajima amechezea mamlaka kwa kauli zake za hovyo na UCHOCHEZI,

Kanisa lake limefutwa na mamlaka zake za usajili,MNALALAMA kwake mnataka afanye kitu Gani.

Tundu Lissu alileta lugha za UCHOCHEZI vile vile kwa kusema anataka kukinukisha nchi hii kiwake ili lengo lake litimie,mkitaka polisi wafanye Nini.

Sasa,hizo kelele mnazopiga TAMBUENI KUWA Samia ni Kiongozi wa wote,wenye dini na wasio na dini,wanasiasa na wasio wanasiasa,wasomi na wajinga,maskini na matajiri na kadhalika.

Kama VYOMBO vya Dola vimeamua kuwachukulia hatua wahalifu lawama zisiende kwa Raisi.

Nchi hii inaongozwa kwa utawala wa SHERIA,acheni sheria zichukue mkondo wake.
Utawala wa sheria ni kuteka na kuua pamoja na kufila? Au nyie wenzetu utawala wa sheria mnautafsiri vip kwa tafsiri ya ki CCM?
 
Umeongea sahihi KABISA
 
Utawala wa sheria ni kuteka na kuua pamoja na kufila? Au nyie wenzetu utawala wa sheria mnautafsiri vip kwa tafsiri ya ki CCM?
Mimi na wewe mbona hatujatekwa wala kuuawa?!
Imekuwaje watekaji wameteka watu wengine mimi na wewe tukaachwa ?!
Tafauti yetu na hao waliotekwa na kuuawa ni nini?!
Mimi nadhani pamoja na kuwatafuta watekaji yatakiwa pia tuwaangalie watekwaji kwa jicho la tatu, ni kwanini wametekwa wao mimi na wewe tukaachwa?!
 
Friends and our Enemies,

Kama Kuna ambao walidhani kwa kuwa huyu Rais Jinsia yake ni KE,basi wanaweza kuleta ubabe kwake na kutaka kufanya utawala wake uyumbe,basi watambue wamedhania vibaya.

Huyo ni Amiri Jeshi Mkuu,VYOMBO vyote vya ulinzi na usalama vinatii na kuripoti kwake,lazima Heshima na adabu juu yake iwepo.

Enzi za mwendazake pamoja na mkono wake wa Chuma woote mnaojifanya kubweka Leo hii mlifyata mikia na wengine mlikimbia nchi,hizo kelele mbona hatuwahi kuziskia? hatukuskia kelele za maaskofu wala mashekhe,hatukuskia wanaharakati wala wazee wastaafu wakipiga mayowe.

Hakuna asiejua kuwa Gwajima amechezea mamlaka kwa kauli zake za hovyo na UCHOCHEZI,

Kanisa lake limefutwa na mamlaka zake za usajili,MNALALAMA kwake mnataka afanye kitu Gani.

Tundu Lissu alileta lugha za UCHOCHEZI vile vile kwa kusema anataka kukinukisha nchi hii kiwake ili lengo lake litimie,mkitaka polisi wafanye Nini.

Sasa,hizo kelele mnazopiga TAMBUENI KUWA Samia ni Kiongozi wa wote,wenye dini na wasio na dini,wanasiasa na wasio wanasiasa,wasomi na wajinga,maskini na matajiri na kadhalika.

Kama VYOMBO vya Dola vimeamua kuwachukulia hatua wahalifu lawama zisiende kwa Raisi.

Nchi hii inaongozwa kwa utawala wa SHERIA,acheni sheria zichukue mkondo wake.
Kwa hiyo wewe unaona sawa anavyoteka na kuua watu akisingizia hajuwi?
 
Samia ni Rais ndiyo,, lakini hiyo haimfanyi kuwa juu ya maoni au ushauri wa raia wake. Heshima kwa kiongozi haifuti haki ya kutoa maoni ya tofauti.

Kwa hiyo, badala ya kushambulia wanaokosoa, wajengwe kwa hoja, na si vitisho. True patriotism means asking difficult questions, not blind loyalty.
Kwamba uzalendo ni kusema kua utavuruga uchaguzi na kukinukisha?
 
Friends and our Enemies,

Kama Kuna ambao walidhani kwa kuwa huyu Rais Jinsia yake ni KE,basi wanaweza kuleta ubabe kwake na kutaka kufanya utawala wake uyumbe,basi watambue wamedhania vibaya.

Huyo ni Amiri Jeshi Mkuu,VYOMBO vyote vya ulinzi na usalama vinatii na kuripoti kwake,lazima Heshima na adabu juu yake iwepo.

Enzi za mwendazake pamoja na mkono wake wa Chuma woote mnaojifanya kubweka Leo hii mlifyata mikia na wengine mlikimbia nchi,hizo kelele mbona hatuwahi kuziskia? hatukuskia kelele za maaskofu wala mashekhe,hatukuskia wanaharakati wala wazee wastaafu wakipiga mayowe.

Hakuna asiejua kuwa Gwajima amechezea mamlaka kwa kauli zake za hovyo na UCHOCHEZI,

Kanisa lake limefutwa na mamlaka zake za usajili,MNALALAMA kwake mnataka afanye kitu Gani.

Tundu Lissu alileta lugha za UCHOCHEZI vile vile kwa kusema anataka kukinukisha nchi hii kiwake ili lengo lake litimie,mkitaka polisi wafanye Nini.

Sasa,hizo kelele mnazopiga TAMBUENI KUWA Samia ni Kiongozi wa wote,wenye dini na wasio na dini,wanasiasa na wasio wanasiasa,wasomi na wajinga,maskini na matajiri na kadhalika.

Kama VYOMBO vya Dola vimeamua kuwachukulia hatua wahalifu lawama zisiende kwa Raisi.

Nchi hii inaongozwa kwa utawala wa SHERIA,acheni sheria zichukue mkondo wake.
Sheria tungeona watu wakihukumiwa mahakamani sio kupotezwa kwa kukosoa mtu hana hata kikundi chenye marungu tubachilia mbali silaha ameongea mtazako tofauti hiyo hatuwezi kusema sheria mkuu, wangekamatwa wangeshitakiwa kwa makosa mnayoona wamefanya wakahukumiwa hata mngeamua hukumu ya kifo lakini mahakamani at least tungesema sheria lakini kwa namna ilivyo unapotosha umma unaposema utawala wa sheria
 
Basi endeleeni kuropoka na kutukana,na tena msiwe maboya wa kuropoka kwenye keyboards,kuweni kama wenzenu Gwajima na Tundu lisu tuone JEURI YENU.
Kama hamna akili na mnaiendesha nchi kwa kutumia magenge ya kihuni; mtaambiwa tu ukweli. Na uwezo wa kuua, kuteka na kufunga wakosoaji wenu wote hamna.
 
Yeyote anaechezea Dola,Dola ikigeuka na kumchezea yeye hatutaki kuskia lawama za mwenye kulaumu.

Kipaombele namba moja nchi hii ni amani na utulivu,kenge atakaejaribu kucheza na hivyo vitu atashikishwa adabu kwa maslahi mapana ya nchi.
Sasa shida yako ni nini kama uko salama na dola?
 
Tutapata muda wa kufufua huu uzi baada ya miaka mitano ijayo
 
Friends and our Enemies,

Kama Kuna ambao walidhani kwa kuwa huyu Rais Jinsia yake ni KE,basi wanaweza kuleta ubabe kwake na kutaka kufanya utawala wake uyumbe,basi watambue wamedhania vibaya.

Huyo ni Amiri Jeshi Mkuu,VYOMBO vyote vya ulinzi na usalama vinatii na kuripoti kwake,lazima Heshima na adabu juu yake iwepo.

Enzi za mwendazake pamoja na mkono wake wa Chuma woote mnaojifanya kubweka Leo hii mlifyata mikia na wengine mlikimbia nchi,hizo kelele mbona hatuwahi kuziskia? hatukuskia kelele za maaskofu wala mashekhe,hatukuskia wanaharakati wala wazee wastaafu wakipiga mayowe.

Hakuna asiejua kuwa Gwajima amechezea mamlaka kwa kauli zake za hovyo na UCHOCHEZI,

Kanisa lake limefutwa na mamlaka zake za usajili,MNALALAMA kwake mnataka afanye kitu Gani.

Tundu Lissu alileta lugha za UCHOCHEZI vile vile kwa kusema anataka kukinukisha nchi hii kiwake ili lengo lake litimie,mkitaka polisi wafanye Nini.

Sasa,hizo kelele mnazopiga TAMBUENI KUWA Samia ni Kiongozi wa wote,wenye dini na wasio na dini,wanasiasa na wasio wanasiasa,wasomi na wajinga,maskini na matajiri na kadhalika.

Kama VYOMBO vya Dola vimeamua kuwachukulia hatua wahalifu lawama zisiende kwa Raisi.

Nchi hii inaongozwa kwa utawala wa SHERIA,acheni sheria zichukue mkondo wake.
Vipi yule Naibu Waziri anayejitapa ni Mafia? Sheria imeenda likizo au mama habari haijamfikia?
 
hatujawahi kuwa na rais fomu foo felia
 
Back
Top Bottom