Rais Samia ameruhusu utawala wa sheria ufanye kazi wengine mnalalama, tambueni urais ni taasisi


Sisi tukifa, kwani wewe utaishi milele?

Yeyote anaechezea Dola, Dola ikigeuka na kumchezea yeye hatutaki kuskia lawama za mwenye kulaumu.
 
Mtachagua sasa,kama ni kusuka au kunyoa...ila mkileta za kuleta ndiyo kama mnavyoona,Kila mtu atakufa na msalaba wake,tumewalea Lea sana.

Sasa Inatosha,hakuna tena kucheka Cheka na kima.
Mama Samia alishasema hawa wanaharakati uchwara waliojiingiza kwenye siasa kule Zanzibar wanaitwa " MAKHLUUQU TAABU "
Yaani ni watu kama mijing'ombe hivi bila fimbo hawaendi.
Mama alipoingia madarakani kwa kupenda maridhiano, na kustahmiliana akaamua kufukia makaburi ya zamani na kuanza ukurasa mpya!
Siku zilivyoenda ndio akagundua kumbe Hawa ndio MAKHLUUQU TAABU!
Bila fimbo na mateke wanakuoma wewe ni mpumbavu mwenzao!
Ndipo akaamua kubadili mbinu ya kudeal nao baada ya kuona kwamba akiwachekea watamsumbua sana!.
 
Pumbavu mkubwa ww siku akitekwa ndugu yako wa damu uje pia humu jukwaani usifie huo upuuzi...maza facka.
 
Yaani kusema watu wanatekwa na kuuwawa ni kuropoka?
 

Sanaaa,Hawa mafala wanajikuta eti nao ni wanaharakati...Leo wanaujua uaharakati?

Mabishoo tuh Leo wajiite wanaharakati?mbona walikimbia nchi juzi juzi tuh hapa,

Wamepewa uhuru,demokrasia na wanatukana na kuongea maneno ya shombo huku polisi wakiwalinda kwenye mikutano yao Leo wanataka kuwapanda watu kichwani?
 
Sisi tukifa, kwani wewe utaishi milele?

Yeyote anaechezea Dola, Dola ikigeuka na kumchezea yeye hatutaki kuskia lawama za mwenye kulaumu.
Dola, au kikundi cha wahuni! Dola halali huwa inasimamia maslahi ya nchi na watu wake! Na siyo maslahi ya mtu mmoja na genge lake la kuua, kuteka, kupoteza, kufunga kwa uonevu, kufilisi nchi, nk.
 
Yaani kusema watu wanatekwa na kuuwawa ni kuropoka?

Kusema mbona wengi wamesema na hakuna walichofanywa.?

Huyo FALA anakuja kusema kwamba anaewatuma kutekwa watu ni yule mwenye mamlaka za Uteuzi,kisha mnataka aachwe?

Tena kauli hizo anazisemea kanisani kwake,aachwe yeye ni nani nchi hiii??

Yule SI FALA tuh kama mafala wengine?

Anasema anafufua WAFU,SI aendelee KUWAFUFUA WAFU Wake? matusi ya Nini sasa.
 
Wanaleta ubabe kwa vile ni mama.Kwa Magu waliufyata.Huwezi kushika dola kwa kutumia ubabe na nguvu
 
Dola, au kikundi cha wahuni! Dola halali huwa inasimamia maslahi ya nchi na watu wake! Na siyo maslahi ya mtu mmoja na genge lake la kuua, kuteka, kupoteza, kufunga kwa uonevu, kufilisi nchi, nk.

Basi endeleeni kuropoka na kutukana,na tena msiwe maboya wa kuropoka kwenye keyboards,kuweni kama wenzenu Gwajima na Tundu lisu tuone JEURI YENU.
 
Mbona mnajishitukia kuna sehemu gwajima alitaja kwamba watekaji wanatumwa na rais au tu ni mapendekezo aliyatoa?
 
Mbona mnajishitukia kuna sehemu gwajima alitaja kwamba watekaji wanatumwa na rais au tu ni mapendekezo aliyatoa?

Kumbe hata kumsikiliza hujamsikiliza?

Sasa unabishana Nini na ukweli haujui??
 
Kwahiyo "maridhiano" kwenu ni kusifiwa na kuabudiwa tu hata kwenye upuuzi mnaofanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…