Rais Samia ameshinda vita dhidi ya maadui zake na maadui wa Taifa letu waliotaka kuliangamiza Na Kuliteketeza Taifa letu


Mapepe huu ni mwezi wa kwanza tu subiri miezi sita ndiyo uongee. Wana mtandao wanao penda madaraka hawawezi kumwacha
 
Mapepe huu ni mwezi wa kwanza tu subiri miezi sita ndiyo uongee. Wana mtandao wanao penda madaraka hawawezi kumwacha
Mtasubiri sanaaaaa. Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuwepo hapo Alipo.
 
wewe ni nani hata utupige mkwala hapa nawe!, kwanza yeye sio Mungu bhna!, una uhakika gani kama atakuwa hai hadi kufikia hiyo 2030!!?.
Rais Samia ataendelea kuwa hai na kuongoza Taifa letu hadi 2030 kwa uwezo na Msaada Wa Mwenyezi Mungu aliyemuinua kwa Mkono Wake.
 
Kwa hiyo Icc wamesgindwa sio?
 
Umoja na Mshikamano wa kuwaua wakushikamana nao?
 
Kitu nachukia kwanni hafanyi sherehe kusherekea ushindi mkubwa kwa kumaliza hao maadui kwani anamwogopa nanii..
Fanyeni tamasha kubwa mcheze music huku mmebeba picha za hao waliotaka kuangamiza taifa wakiwa barabaran wamekufa mkisifu mungu wenu Allah.
 
Sijawahi ona Mnyiha usiye na akili kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…