Kigera Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,566
- 1,403
Luka........ una mikwara mbuzi aisee 😀 😀Mama kashinda vita . Yeyote atakaye jaribu kuchezea Amani yetu atashughulikiwa.

Njia waliyotumia imesababisha vifo vyao tena wakiwa vijana wadogo.Sio walitaka kuliteketeza walitaka uchaguzi huru na wa haki, kukomeshwa kwa itekaji na mauwaji.
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watanzania wenzetu kwa kuungana na maadui zetu kwa chuki zao binafsi walidhamiria na kupanga kuliangamiza na kuliteketeza kabisa Taifa letu. Walidhamiria kusambaratisha kabisa umoja , mshikamano na upendo miongoni mwa watanzania. Walitaka kupandikiza chuki na visasi kwa watanzania ili sisi kwa sisi tuchukiane na hatimaye tuchinjane sisi kwa sisi kwa mikono yetu wenyewe.
Lakini kwa umakini ,uhodari na umaridadi wa hali ya juu sana Na Kwa Msaada wa Mwenyezi Mungu aliyemuinua na kumpa kibali Rais wetu kukalia kiti cha Urais alifanikiwa kuung'amua na kuuruka mtego huo wa maadui zetu walioshirikiana na wasaliti wa Taifa letu.
Rais wetu Mpendwa aliwaongoza watanzania kusimama imara na kulinda Taifa letu. Aliwaongoza watanzania kutetea uhuru wa Taifa letu na kukataa kabisa kuchochewa kulichoma moto Taifa letu. Ndio sababu watanzania kwa umoja wao walipoambiwa waandamane Tarehe 9 December waligoma kabisa na kuwakemea na kuwapa onyo kali sana wale wote ambao wangejaribu kuleta vurugu hapa Nchini.
Watanzania walijiapiza kupambana na yeyote ambaye angejaribu kutumika na kutumiwa na maadui zetu kulihujumu Taifa letu. Ndio sababu mpaka sasa Taifa lipo tulivu huku kila mmoja wetu akiendelea na shughuli zake za kiuchumi kwa ajili ya kujiletea maendeleo binafsi na ya Taifa zima kwa ujumla wake.
Hiyo yote ni kazi njema ya Rais wetu, ni uimara ,uhodari ,ushupavu ,umadhubuti wa Rais wetu katika kutoa uongozi uliotukuka kwa ajili ya Taifa letu. Kwa hakika tuna kila sababu ya kujivunia Rais wetu. Tuna kila sababu ya kutembea vifua mbele. Tuna kila sababu ya kusema asante Mama na tupo tayari kumuunga mkono.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3532266
Mtasubiri sanaaaaa. Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuwepo hapo Alipo.Mapepe huu ni mwezi wa kwanza tu subiri miezi sita ndiyo uongee. Wana mtandao wanao penda madaraka hawawezi kumwacha
Rais Samia ataendelea kuwa hai na kuongoza Taifa letu hadi 2030 kwa uwezo na Msaada Wa Mwenyezi Mungu aliyemuinua kwa Mkono Wake.wewe ni nani hata utupige mkwala hapa nawe!, kwanza yeye sio Mungu bhna!, una uhakika gani kama atakuwa hai hadi kufikia hiyo 2030!!?.
Mimi sijaua mtu ila Samia na nyie machawa mnalaana na itawamaliza kwa sababu mmeua watu.Wewe ndiye jiandae kwa mabaya na malaana.
Mbona wewe hujauwawaMimi sijaua mtu ila Samia na nyie machawa mnalaana na itawamaliza kwa sababu mmeua watu.
Kwa sababu Mungu kanilinda dhidi ya nyie wauaji ila siku zenu zimeisha.Mbona wewe hujauwawa
Kwa hiyo Icc wamesgindwa sio?Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watanzania wenzetu kwa kuungana na maadui zetu kwa chuki zao binafsi walidhamiria na kupanga kuliangamiza na kuliteketeza kabisa Taifa letu. Walidhamiria kusambaratisha kabisa umoja , mshikamano na upendo miongoni mwa watanzania. Walitaka kupandikiza chuki na visasi kwa watanzania ili sisi kwa sisi tuchukiane na hatimaye tuchinjane sisi kwa sisi kwa mikono yetu wenyewe.
Lakini kwa umakini ,uhodari na umaridadi wa hali ya juu sana Na Kwa Msaada wa Mwenyezi Mungu aliyemuinua na kumpa kibali Rais wetu kukalia kiti cha Urais alifanikiwa kuung'amua na kuuruka mtego huo wa maadui zetu walioshirikiana na wasaliti wa Taifa letu.
Rais wetu Mpendwa aliwaongoza watanzania kusimama imara na kulinda Taifa letu. Aliwaongoza watanzania kutetea uhuru wa Taifa letu na kukataa kabisa kuchochewa kulichoma moto Taifa letu. Ndio sababu watanzania kwa umoja wao walipoambiwa waandamane Tarehe 9 December waligoma kabisa na kuwakemea na kuwapa onyo kali sana wale wote ambao wangejaribu kuleta vurugu hapa Nchini.
Watanzania walijiapiza kupambana na yeyote ambaye angejaribu kutumika na kutumiwa na maadui zetu kulihujumu Taifa letu. Ndio sababu mpaka sasa Taifa lipo tulivu huku kila mmoja wetu akiendelea na shughuli zake za kiuchumi kwa ajili ya kujiletea maendeleo binafsi na ya Taifa zima kwa ujumla wake.
Hiyo yote ni kazi njema ya Rais wetu, ni uimara ,uhodari ,ushupavu ,umadhubuti wa Rais wetu katika kutoa uongozi uliotukuka kwa ajili ya Taifa letu. Kwa hakika tuna kila sababu ya kujivunia Rais wetu. Tuna kila sababu ya kutembea vifua mbele. Tuna kila sababu ya kusema asante Mama na tupo tayari kumuunga mkono.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3532266
Kwa hiyo nani hana MunguKwa sababu Mungu kanilinda dhidi ya nyie wauaji ila siku zenu zimeisha.
Icc ndio wadudu gani.Kwa hiyo Icc wamesgindwa sio?
Wadudu wanaong'ata na kutafuna!Icc ndio wadudu gani.
Kama ni wadudu basi wataangamizwa Kwa Sumu kali sana.Wadudu wanaong'ata na kutafuna!
Ile ya masasii ama?Kama ni wadudu basi wataangamizwa Kwa Sumu kali sana.
Mbona wewe hujauwawa.Umoja na Mshikamano wa kuwaua wakushikamana nao?