Rais Samia ameshusha heshima ya taifa letu kwenye mikutano ya AU

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Nasema hivyo kwa sababu miaka ya nyuma viongozi wa Taifa letu walikuwa wakismama kwenye mikutano ya AU ilikuwa ni heshima kubwa.

Taifa letu lilikuwa na sifa kubwa ya kulinda haki za raia wake na hata kutoa misaada kwa raia wa kigeni ambao walikuwa na matatizo nchini mwao.

Leo hii anasimama rais wa taifa letu na kutoa taarifa namna watu waliokuwa wanaangalia mpira kwenye mabanda umiza na kupigwa risasi ili abakie madarakani.

Hii ni aibu kubwa sana
 
Ame GATECRASH sasa wewe Unafikiri mtu kama huyo ana hadhi?

Yaani ka-gatecrash
 
Back
Top Bottom