Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Chiluba alikuwa mtu wa ovyo sana.Kuna kisa nakikumbuka wakati Fredrick Chiluba alipomuweka Mzee Kaunda Jela Mzee Kaunda akafanya mgomo wa kula,Nyerere alipoona hivyo akaondoka mbiombio hadi Lusaka kwenda kumtoa mahabusu Rafiki yake😁
Sio za mapumziko, bali za bendera nusu mlingotiNyingi sana bana
Hapo nimeelewaSio za mapumziko, bali za bendera nusu mlingoti
Huyu Kaunda alishindwa urais mwaka 1992 ktk uchaguzi wa vyama vingi,lakini aliwaachia wapinzani kuongoza nchi ingawa alikuwa na uwezo wa kutumia nguvu,hakuiba kura ingawa uwezo wa kuiba alikuwa nao. Aliheshimu sana mawazo ya wengi kupitia democracy. Hapa kwetu tuna la kujifunza ili tubadilike au tutabadilishwa kwa nguvu ya wakati na dunia.Ni Sawa kabisa KK ni MTU mwenye historia na Taifa hili. Poleni WaZambia. Huwezi kumtaja KK bila kumkumbuka JK Nyerere.
Huyo ni saizi ya kina Mwigulu.Hivi unaachaje, kwa mfano, kwenye hii orodha kumtaja JPM, Anko Magu, Bulldozer, Tingatinga, Jembe, Chuma!??? Au akaunti yako imedukuliwa!??? Unajua JPM amefanya hata makaburi ya hao wazee wetu wapigania-uhuru, watetezi wa utu na rasilimali za Afrika, yasafishwe na kuonekana vizuri upya.
Nakumbuka tukio moja Baya kijana wake Wezi Kaunda aliuawa sikumbuki vizuri lakini hakuwa picha nzuri Kwa utawala WA wakati huo walimkosea Sana Mzee WA WA watu.Huyu Kaunda alishindwa urais mwaka 1992 ktk uchaguzi wa vyama vingi,lakini aliwaachia wapinzani kuongoza nchi ingawa alikuwa na uwezo wa kutumia nguvu,hakuiba kura ingawa uwezo wa kuiba alikuwa nao. Aliheshimu sana mawazo ya wengi kupitia democracy. Hapa kwetu tuna la kujifunza ili tubadilike au tutabadilishwa kwa nguvu ya wakati na dunia.
Mkuu, Mbona hutumi Salamu kwa Shujaa wa Africa, Namaanisha Mwendazake JiweApumzike kwa amani Mzee wetu KK, atufikishie salamu zetu kwa NYERERE, KENYATA, MANDELA, NKURUMAH na wapigania uhuru wengine wa Afrika. True Sons of Africa. Wapumzike kwa amani wote
Nani huyo?Hapa sasa kidooooogo tunaweza kusema atleast Shujaa amekwenda.... Siyo ule ujanjaujanja
Hao ni wapigania uhuru Mkuu.Mkuu, Mbona hutumi Salamu kwa Shujaa wa Africa, Namaanisha Mwendazake Jiwe
Tuomboleze kama Nani , hii nchi hatujawah kujua nini hasa lengo letu
TAZAMA PIPELINE!..katika Maraisi wa Afrika Kenneth Kaunda tunaweza kusema alikuwa rafiki kipenzi wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
..katika kuomboleza msiba wa Mwalimu Nyerere, Mzee Kaunda alishiriki kwa karibu kama mwanafamilia.
..Mzee Kaunda alitufariji Watanzania kwa maneno ya nasaha na utenzi maalum kwa rafiki na kaka yake Julius Kambarage Nyerere.
..Reli ya Uhuru / Tazara toka Dar Es Salaam mpaka Kapiri Mposhi ni alama ya undungu tulioachiwa na waasisi wetu Julius Nyerere na Kenneth Kaunda.
mecoNani huyo?