Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Swali jema sana lisilo na konakona wala kuremba mwandiko.Ametoa mfukoni kwake?
ile boti ya 1.5BBoti hiyo yenye injini mbili zenye nguvu ya jumla ya HP 500 na uwezo wa kubeba abiria 12, itaongeza uwezo wa mamlaka kukabiliana na dharura Ziwa Nyasa, kuokoa maisha na kuimarisha usalama wa wasafiri pamoja na shughuli za usafiri majini.View attachment 3682190
Hivi ile boti inatoboa hata 100m kweli? Mbona kama dude la milioni 60ile boti ya 1.5B
Ndio hiyo hiyo inabadilishwa viswahili tu.ile boti ya 1.5B
Manunuzi yao si lazima yawe na ongezeko mbele ili watu wapate mkuu ushasahau tena.Hivi ile boti inatoboa hata 100m kweli? Mbona kama dude la milioni 60
Wanapiga pakubwa!Manunuzi yao si lazima yawe na ongezeko mbele ili watu wapate mkuu ushasahau tena.
unaumia?Hii ndio ile boti ya kitapeli ya 1.5B
Tanzania inatafunwa sana na itarafunwa kuliko kawaida.
Watu wanafidia magepu yao wakati wa Magu.
Nchi italiwa na kunyambuliwa sana miaka ya huyu mama.
Wewe huumii?unaumia?