Rais Samia ameweza kuimarisha jeshi la polisi kwa kuboresha miondombinu ya kazi.

Joined
Aug 25, 2025
Posts
16
Reaction score
9
Amejenga vituo vya polisi 472 vya kata na kuboresha makazi ya askari. Na kutoa magari mapya ya polisi ili kurahisisha utendaji wa majukumu
 
Amejenga vituo vya polisi 472 vya kata na kuboresha makazi ya askari. Na kutoa magari mapya ya polisi ili kurahisisha utendaji wa majukumu
Ingewezekana kupandikiza akili kwa Polisi ingefaa zaidi!
 
Amejenga vituo vya polisi 472 vya kata na kuboresha makazi ya askari. Na kutoa magari mapya ya polisi ili kurahisisha utendaji wa majukumu
Kwa kuongeza vituo vya polisi Ina maana uongozi wake umezalisha vibaka wengi,sivyo?Mochwari kajenga ngapi?
 
Kujenga vituo vingi vya polisi haijamaanisha amezalisha vibaka wengi bali inaonesha imarishaji wa usalama ndani ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…