Rais Samia amkumbatie sana Makonda, akitoswa hata na Makonda atakuwa na shughuli nzito sana

Rais Samia amkumbatie sana Makonda, akitoswa hata na Makonda atakuwa na shughuli nzito sana

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Makonda angalau ana ushawishi 60-70% anaweza akamsaidia katika mambo fulani fulani.

Kama Makonda naye akiamua kukaa pembeni, aisee shughuli itakuwa pevu.
 
Kwenye siasa usimuamini mtu hasa public figure.
Anaweza kuamini walionyuma yake na off camera kuliko...

Jpm alifanyaje..
 
Makonda angalau ana ushawishi 60-70% anaweza akamsaidia katika mambo fulani fulani.

Kama Makonda naye akiamua kukaa pembeni, aisee shughuli itakuwa pevu.
Ndio akili zenu zilivyo? Baadae mwakani muanze kulia kodi impandishwa? Hii nchi some timekuwalaumu viongozi ni kuwao nea bure, shida ni raia ambao wamejaa upumbavu,
 
Ndio unakumbuka Arusha ilikuwa inasikika kila mahari utagundua mkuu
Basi watu wa Arusha wamekua wapumbavu sana maana tunaomjua tulijua kabisa amelenga ndoto yake ya ubunge na uwaziri ambayo ataipata bila shaka tena waziri wa mambo ya ndani....Tunza hii comment.
 
Makonda angalau ana ushawishi 60-70% anaweza akamsaidia katika mambo fulani fulani.

Kama Makonda naye akiamua kukaa pembeni, aisee shughuli itakuwa pevu.
Makonda hana cha maana zaid ya kujipendekeza na ushirikina wake ila kitaifa hana msaada wowote
 
Makonda amewekeza sana kwa wajinga wengi kama ww mtoa mada.
Samia ana Ugumu gani kuupata urais? Anagombea na nani? Samia hata asipopiga kampeni mkutano mmoja bado atashinda maana wapinzani halisi wamekataa mchezo wa rafu.
Weka kwenye psychology yako Samia ni Rais mpaka 2030 ndio tufikirie mambo mengine.
Huo upuuzi wa kwamba anahitajika kusaidiwa na mtu ni ufala, mm nashangaa anaingia hasara ya kugawa baiskeli kwa wasukuma huko, ya nn sasa wakati hana mpinzani? Mama Tulia paka wanja, piga make up, tawala wajinga wa TZ mpaka 2030
 
Wabongo wengi wanafki sana. Rejea makonda alivyo tolewa nafasi ya ukuu wa mkoa Dar, Rejea mikutano ya Lissu na kesi.


Maamuzi ya busara kwa Samia ni kujiuzulu akale uzee huko uarabuni. Tz is no more safe kwake ataishi kwa stress Tu akiendelea na siasa
 
Utahira umekuja sana.. sasa makonda ana ushawishi kwa lipi? Utahira wa makonda na roho mbaya ndio umaarufu?. Kuna jambo lipi ambalo unaweza kutuambia makonda kalifanya kamba kila mtanzania analijua?.
 
Makonda angalau ana ushawishi 60-70% anaweza akamsaidia katika mambo fulani fulani.

Kama Makonda naye akiamua kukaa pembeni, aisee shughuli itakuwa pevu.
We nae kumbe kilaza tu

Kwa mfumo wa siasa ulivyo hapa nchini, hata Samia akiamua kutokufanya kampeni akaishia kuwatuma kina Wassira na Makala bado Mamá anatoboa kwa kishindo tu

Upinzani hasa Chadema washaminywa, hakuna wa kumpinga tena urais

Upinzani mkali ni ndani ya CCM ktk nafasi za ubunge na udiwani tu
 
Ndio akili zenu zilivyo? Baadae mwakani muanze kulia kodi impandishwa? Hii nchi some timekuwalaumu viongozi ni kuwao nea bure, shida ni raia ambao wamejaa upumbavu,
Umechelewa sana kugundua kwamba raia wengi ni battery low.
 
Back
Top Bottom