Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Ataenda na handsome makala.Makonda angalau ana ushawishi 60-70% anaweza akamsaidia katika mambo fulani fulani.
Kama makonda naye akiamua kukaa pembeni, aisee shughuli itakuwa pevu.
Ndio unakumbuka Arusha ilikuwa inasikika kila mahari utagundua mkuuEti makonda ana ushawishi...ila hii inchi.
Lakini angalau angalau ,ndio maana nimempa 60-70% .Makonda ni fisadi yeye ni mzee wa kucheza na beat tu
Ndio akili zenu zilivyo? Baadae mwakani muanze kulia kodi impandishwa? Hii nchi some timekuwalaumu viongozi ni kuwao nea bure, shida ni raia ambao wamejaa upumbavu,Makonda angalau ana ushawishi 60-70% anaweza akamsaidia katika mambo fulani fulani.
Kama Makonda naye akiamua kukaa pembeni, aisee shughuli itakuwa pevu.
Basi watu wa Arusha wamekua wapumbavu sana maana tunaomjua tulijua kabisa amelenga ndoto yake ya ubunge na uwaziri ambayo ataipata bila shaka tena waziri wa mambo ya ndani....Tunza hii comment.Ndio unakumbuka Arusha ilikuwa inasikika kila mahari utagundua mkuu
🚮🚮🚮🚮🚮🚮😂Makonda angalau ana ushawishi 60-70% anaweza akamsaidia katika mambo fulani fulani.
Kama Makonda naye akiamua kukaa pembeni, aisee shughuli itakuwa pevu.
Makonda hana cha maana zaid ya kujipendekeza na ushirikina wake ila kitaifa hana msaada wowoteMakonda angalau ana ushawishi 60-70% anaweza akamsaidia katika mambo fulani fulani.
Kama Makonda naye akiamua kukaa pembeni, aisee shughuli itakuwa pevu.
Makonda angalau ana ushawishi 60-70% anaweza akamsaidia katika mambo fulani fulani.
Kama Makonda naye akiamua kukaa pembeni, aisee shughuli itakuwa pevu.
We nae kumbe kilaza tuMakonda angalau ana ushawishi 60-70% anaweza akamsaidia katika mambo fulani fulani.
Kama Makonda naye akiamua kukaa pembeni, aisee shughuli itakuwa pevu.
Umechelewa sana kugundua kwamba raia wengi ni battery low.Ndio akili zenu zilivyo? Baadae mwakani muanze kulia kodi impandishwa? Hii nchi some timekuwalaumu viongozi ni kuwao nea bure, shida ni raia ambao wamejaa upumbavu,