PreGE2025 Rais Samia ampa TSh 20 milioni Askofu wa jimbo jipya la Bagamoyo

PreGE2025 Rais Samia ampa TSh 20 milioni Askofu wa jimbo jipya la Bagamoyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ameiweka kama ya mafuta ili iende moja kwa moja mfukoni mwa mlengwa.

Rushwa personal ya wazi wazi

Angesema ya ujenzi mweka hazina angemtolea macho Askofu.

Sasa huyu doctor Mpango aliyebeba hii hela chafu unataka kunambia hajui hilo ???

Samia mjanga sana, alichagua Vice President mzito mzito asiye na misimamo, wala uzalendo.
 
Jana wamehongwa wengine.

Wahariri wanne milioni kumi kumi kila mmoja eti tuzo ya kuandika habari zisizoligawa Taifa.

Rushwa za wazi wazi wazi wazi!

Habari zinazoligawa Taifa ndio zipi ?

Nikisema mradi wa mwendokasi ulikosewa mahesabu, plan haikuwa ya kisomi,
njia mpya zimekamilika, mabasi hamna. Njia za zamani mabasi hayatoshi, walikosea estimates za wasafiri, arithmetics ziliwashinda. Management ni mbovu, inazalisha hasara. Mabasi hayana maintenance, yanavuja, yanakongoroka. Engine ziko nyuma, nchi ni red hoyvtropics, waliingizwa mikenge na Mchina. CAG kasema mradi ni biashara kichaa, hasara tupu. Uongozi ubadlishwe, umefeli horrendously.

Nimeligawa Taifa kivipi?

Kuna watu watachukiana kati ya wanaopenda Udart na wasiopenda ?

Basi mashabiki ya Simba na Yanga yangekuwa wanachinjana uwanjani.
 
Back
Top Bottom