Rais Samia 'ampiga' Spika Ndugai

Rais kamjibu kisomi sana Ndugai. Kifo cha JPM kimewaibua wanafiki wengi sana.

Yaani kuna tofauti ya kauli za baadhi ya watu wenye mamlaka, za wakati JPM akiwa yuko hai na baada ya kufa, ni vitu viwili tofauti.
 
Bitozo anahangaika na Mbowe wakati magaidi wa kumumaliza wako ndani ya CCM yenyewe.
 
CCM Ni kituko
Ndugai ameunga mkono Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo anaitwa Msaliti wa Serikali ya Awamu ya 5 kigeugeu
Ndugai katoa matamko wa Mkopo kapewa jina lingine Mtu aliyekuwa anaunga mkono Serikali ya Awamu 5 wapiga zumari wakubwa Serikali ya Awamu 5

Tuelewe nini
 
Mjambiani mpumbavu sana huyu ,sisi tunataka kodi zetu na rasilimali zetu zijenge nchi siyo mikopo wakati umeweka tozo
 
Mjambiani mpumbavu sana huyu ,sisi tunataka kodi zetu na rasilimali zetu zijenge nchi siyo mikopo wakati umeweka tozo
Ukitaka kwenda mbinguni ni lazima ukubali kufa. Huwezi kutaka kupumua au halafu safari ya mbinguni iwe inakuhusu.

Watanzania tunapenda sana hii 'bure bure' hakuna maendeleo yanayokuja pasipo mtu kuumia.
 
Kweli kabisa, Samia yupo humble sana hajikwezi. Wala hana mashindano na mtu au taasisi ya kimataifa.
Sijui kutojikweza kwake kumemsaidia nini mwananchi. Ndugai kauliza swali la msingi; kama mmewawekea tozo wananchi ili ipatikane pesa ya kujenga vituo vya afya na madarasa, kwanini tena mkakope kufanya mambo hayohayo?
 
Simpendi JOb lakini Kauli yake tunapswa kuitafakari kwa kina.
 
Wapo saiti wanatumbua hela na kuzuga as though wanafanya kitu cha maana. Ndiyo maana barabara ya lami, kilometa moja wanajenga kwa zaidi ya miezi ^sea-tar^ na nusu.
Kipindi cha Magufuli kipande cha Kaliua mpaka uvinza km kama 200 hakijaisha.. kipande cha Sikonge kuunganisha na Katavi kama km 150 hakijaisha ndani ya miaka 5! niambie ni barabara gani ya kuunganisha mikoa Magufuli aliikuta haijaisha akaimaliza. Hapa naongelea ndani ya miaka 5. Nitajie barabara moja alikamilisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…