Rais Samia ampiku Hayati Magufuli kwenye kila sekta

Anampiku hayati ambae hakunaliza hata mda wake nyie mmerogwa na nani?
 
Samia mitano tena ikibidi aongezewe muda
 
Ukwe Ukweli, hana makeke, hataki mbwembwe ila amefanya mambo makubwa sana hasa ile miradi mikubwa aliyoicha Magu, Samia ni akili kubwa sana. Mtulivu lakini very strong woman zaidi ya wanaume 2.
 
W
Aibu ni wewe
msimwaibishe mama yenu wazee...

najua mnafahamu hana uwezo wowote ila kwakua mnafaidika na udhaifu wake mnasifia tu...

kuna vitu nakili anaweza...

vitu kama, kujenga shule, vyoo n.k

ila mambo serious yanayoweza kuisaidia nchi kwa miaka mingi ijayo hawezi...

najua mnafahamu hilo...
 
imeenda
 
Magufuli aliua makumi na Samuya ameua makumi ya maelfu ya Watanganyika
 
Walimchukulia poa, sasa anawapelekea moto wa maendeleo kila kona.
 

-Samia amemzidi Magu kwenye mass killings(massacre)
-Samia amemzidi Magu kwenye kuficha maiti za watu anaowaua.
-Samia amemzidi Magu kwa kwaamisha kimabavu Watanganyika na maeneo kuwapa Waarabu.
-Samia amemzidi Magu kujaza ndugu(nepotism) kwenye uongozi.
-Samia amemzidi Magu kukosa projects alizozi-initiate bali amedandandia projects zilizokuwa zikiendelea.
-Samia amemzidi Magu kukandamiza Watanganyika na kupendelea Wazanzibari kwa kuwajaza sehemu nyeti kinyume na proportional ya population ilivyo.
-Samia amemzidi Magu kuwa na indecent public pictures ambazo amekumbatiana na watu wa opposite sex(this says a lot about her character).
-
-
-
-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…