Rais Samia ampokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Ikulu Dar es Salaam leo Machi 30, 2023

Rais Samia ampokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Ikulu Dar es Salaam leo Machi 30, 2023

Ziara ya VP Kamala Tanzania ni kuonesha Uungwaji Mkono wa Serikali ya Biden Kwa Rais Samia na Tanzania Kwa Ajili ya hatua za kidemokrasia na Kulinda Haki za binadamu ambazo zimechukukiwa na Rais Samia kinyume na Mtangulizi wake JP Magufuli.
Huo uliobandika ni uwongo.

Ziara ya Kamara ni kufuatilia ahadi aliyoitoa Rais J.Biden baada ya kukutanza na wakuu wa Nchi za Kiafrika Washington.
Ahadi hiyo ni pamoja na kuongeza Biashara na
Uwekezaji unaofanywa na Marekani katika Bara la Afrika. Ziara ya Kamara imelenga katika kujaribu kuhamasisha Wafanya biashara wa kimarekani kuungana na wafanya biashara wa Kiafrika kuongeza mbinu na ubunifu katika nyanja za kisanii Afrika kama moja yapo ya ajenda zingine.

Suala la Magufuli halihusiani na Ziara ya Kamara

Wacha ugaidi upotoshaji na Uwongo
 
Huo uliobandika ni uwongo.

Ziara ya Kamara ni kufuatilia ahadi aliyoitoa Rais J.Biden baada ya kukutanza na wakuu wa Nchi za Kiafrika Washington.
Ahadi hiyo ni pamoja na kuongeza Biashara na
Uwekezaji unaofanywa na Marekani katika Bara la Afrika. Ziara ya Kamara imelenga katika kujaribu kuhamasisha Wafanya biashara wa kimarekani kuungana na wafanya biashara wa Kiafrika kuongeza mbinu na ubunifu katika nyanja za kisanii Afrika kama moja yapo ya ajenda zingine.

Suala la Magufuli halihusiani na Ziara zak

Wacha ugaidi na Uwongo
Umesoma hiyo taarifa ya The African News au umekurupuka tuu?
 
Kwa harakaharaka, nimeona pesa za misaada alizozimwaga Kamala hazifiki hata nusu ya pesa zilizopigwa kwenye kutengeneza ndege ya mizigo iliyosemwa na CAG!
 
Hapo wapo wanachekelea na wanaomba hela zimwagwe ili wazifuje na hawaogopi maana wahatafanywa kitu.
Nchi hii majizi yanaifaidi sana
 
Mama Samia ka handle issue ya Kamala very diligently! Kukataa maswali na majibu ni bonge la akili na sasa kwa akili zangu fupi naweza ku connect dot ule mkwara wa Jasusi Mwakyembe na kutaja zile taasisi! Issue imeisha sasa! Akili mingi sana, congratulations Madam President Samia Suluhu Hassan [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Funguka zaidi Mkuu hapo kwa issue kuisha,kwamba Makyembe kazi yake imepuuzwa?
 
Hvi hz ndege Boeing 737-Max si ndio zilikua zinaanguka hovyo had kuzuiwa kuruka mpaka pale zitakapofanyiwa uchunguzi na marekebisho??
 
Naona mmeondoa picha ya Samia na Kamara wakiwa Marekani halafu mkaanza kuponda kuwa ni hapa kwetu. Sasa mnaenda kubandika picha ya kutafuta ili ifanane na yale mnayoeneza humu. Nayo ni Dis-Information.
 
Jarida la The African News linaripoti kwamba,Ziara ya VP Kamala Tanzania ni kuonesha Uungwaji Mkono wa Serikali ya Biden Kwa Rais Samia na Tanzania Kwa Ajili ya hatua za kidemokrasia na Kulinda Haki za binadamu ambazo zimechukukiwa na Rais Samia kinyume na Mtangulizi wake JP Magufuli.

Naunga mkono hoja
P
 
Back
Top Bottom