Rais Samia ampokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Ikulu Dar es Salaam leo Machi 30, 2023

Mama Samia ka handle issue ya Kamala very diligently! Kukataa maswali na majibu ni bonge la akili na sasa kwa akili zangu fupi naweza ku connect dot ule mkwara wa Jasusi Mwakyembe na kutaja zile taasisi! Issue imeisha sasa! Akili mingi sana, congratulations Madam President Samia Suluhu Hassan [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mama anastress pia kutokana na report ya CAG
 
Kwa maneno mafupi ni overtake Dhidi ya hofu kupokonywa minofu milainilaini ya kiafrika

Kama mpinzani wake amealikwa Nchi ya block yake why asijilinde na binding agreement ya trillions ili usichomoke?
Screenshot_20230330-163059.jpg
 
Jarida la The African News linaripoti kwamba,Ziara ya VP Kamala Tanzania ni kuonesha Uungwaji Mkono wa Serikali ya Biden Kwa Rais Samia na Tanzania Kwa Ajili ya hatua za kidemokrasia na Kulinda Haki za binadamu ambazo zimechukukiwa na Rais Samia kinyume na Mtangulizi wake JP Magufuli.

Si umetoka kusema kuwa hutaki tena mambo ya siasa sababu ya wizi uliofanyika?...imekuwaje tena?
Wewe kijana lazima una laana na nikuambie wazi laana hiyo umepata kwa sababu unamtukana JPM....nikuhakikishie ukitubu na kuacha kumtukana JPM akili yako itakaa sawa..
 
Kwani kutoa taarifa Kuna ubaya gani?
 
Wewe
Jarida la The African News linaripoti kwamba,Ziara ya VP Kamala Tanzania ni kuonesha Uungwaji Mkono wa Serikali ya Biden Kwa Rais Samia na Tanzania Kwa Ajili ya hatua za kidemokrasia na Kulinda Haki za binadamu ambazo zimechukukiwa na Rais Samia kinyume na Mtangulizi wake JP Magufuli.

Si ndio ulisema hutaitetea hii serikari kutokana na ripoti ya CAG wewe ni mnafiki sana
 
pamechaa ivyo,hata kupiga sadolin!
WaRudishe picha ile....
Si umetoka kusema kuwa hutaki tena mambo ya siasa sababu ya wizi uliofanyika?...imekuwaje tena?
Wewe kijana lazima una laana na nikuambie wazi laana hiyo umepata kwa sababu unamtukana JPM....nikuhakikishie ukitubu na kuacha kumtukana JPM akili yako itakaa sawa..
hawezi kuacha hayo ni porojo tu za kujenga hisia....hana ajira. Na isitoshe ni li boti tu hilo
 
Back
Top Bottom