Rais Samia ampokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Ikulu Dar es Salaam leo Machi 30, 2023

Hajaulizwa juu msimamo wake na ushoga African Countries...
kama no then the visit is meaningless
Serikali ya Tanzania haiungi mkono hayo na waziri Tax akihojiwa na BBC amesema tunaongozwa na Katiba na tumeapa kuilinda na ziara ya makamu Rais wa USA zaidi ni mambo ya uchumi ndio focus ipo huko.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Serikali ya Tanzania haiungi mkono hayo na waziri Tax akihojiwa na BBC amesema tunaongozwa na Katiba na tumeapa kuilinda na ziara ya makamu Rais wa USA zaidi ni mambo ya uchumi ndio focus ipo huko.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kwanini hawakuruhusu maswali .!???
Kwani ingeathiri ninii!??!???
 

 
Mstari wako huu wa mwisho ndio msingi wa hoja zangu mara zote humu JF na kwingeko.

Tunafurahi sana siku hizi tunapotupia hivi vijisenti na kupoteza akili zetu kabisa kwa kusahau kuwa jukumu la nchi yetu ni sisi wenyewe.

Hebu angalia vige;egele vinavyoambatana na hivi vijisenti, utadhani ndiyo suluhu ya matatizo yetu.

Wanasema "msaada", na sisi tunaimba hivyo hivyo kwa nguvu na kujifanya hatujui maana halisi ya neno hilo.

"Msaada", halafu tunavuruga nguvu zetu wenyewe?

Hizi ripoti za CAG zina maana yoyote kwetu?
Halafu hapo hapo siku moja tu tunapiga vigelegele kutupiwa vimisaada na kujisahau kabisa!

Inaudhi sana.
 
Yaani tunashindwa kudhibiti ubadhirifu mpaka mabeberu watusaidie ?....nadhani hatujaamua tu.
Sijui tutaamua lini mkuu 'Proved', si unajionea mwenyewe?

Hao "wabadhirifu" tunawatishia mungu! Ulishaona wapi majizi yanatishika na habari za mungu?

Watu wataacha kukwapua mali za waTanzania kwa vile rais kawatishia 'mungu'?

Soma vizuri hiyo habari ya Democrasia wanayohimiza hao jamaa; usitegemee hiyo ikatutoa hapa tulipo na kwenda mbele.

Usinielewe vibaya, naipenda sana maana pana ya demockrasia; lakini kwa hali yetu hii tuliyo nayo hiyo demokrasia ni wimbo tu.
Nia ya hiyo demokrasia wanayotuimbia hawa jamaa ni kufuata tamaduni zao; wao wanaziita (values), hakuna la ziada
 
Na yule mshikishwa ukuta anafanywaje muda huu? Anapanuliwa mnanii wake?
Na mimi sijamtaja mtu yeyote duniani.
Utoto vs reality mshikishwa ukuta hatumjui ila dikteta liozalo lipo eg mengistu hailechato Mariam
 
Faida yote inakwenda kuwanufaisha wamarekani. Tanzania itabaki vilevile - ila itakuwa na viashilia vingi vya uvunjifu wa amani. Tunatengenezewa DRC mpya!
 
Dili ya Bandari ya Bagamoyo imeshavurugwa hivyo Mchina hana chake tena
 
Dikteta anaoza muda huu (sijamtaja mtu yeyote duniani)
Wewe utafuata njia hiyo hiyo, haijarishi unachukia au unapenda, utakufa tu! Utaoza - japo kuwa maraisi wa Marekani wanao leta demokrasia (ambao sio madikiteita) na misaada Tanzania, wao wakifa hawaozi. Ni hao tu!
 
Dili ya Bandari ya Bagamoyo imeshavurugwa hivyo Mchina hana chake tena
 
Wee kweli mshamba yaani kugundua madini ndo unashangaa ..nenda vijini huko geita watu kila siku wanagundua maeneo yenye dhahabu tena bila ya vifaaa..nakuona kama mshamba usiyejua chochote.
Achana nae hio ni tabia ya masikini asie Soma ,anajenga chuki dhid ya wasomi,,,hajui migodi yote Tz most of technical participate ni wazawa wazungu ni Kama waangalizi tu...
Kwenye vijiwe vya kahawa wanadanganyana Sana juu ya madini .
 
Sijaona jipya ,Bush alikuja ,Obama alikuja ,Clinton alikuja sijaona jipya
 

Akina jack sjui nikawa fiche wapi jamani hapo kazima Kuna ushenzi ume barikiwa
 
Ahsante kwa taarifa, ila sijapenda walivyomsimamisha Rais wetu muda mrefu akimsubiria mgeni ashuke kutoka kwenye gari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…