Rais Samia ampokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Ikulu Dar es Salaam leo Machi 30, 2023

Samia AKIMTUMIKIA beberu.
FB_IMG_16801912876257438.jpg
 
si hamna akili acha awape msaada na achukue Mali.

Nchi yenye population kama bongo na ina kila kitu mnalilia msaada ...bora tusingedai uhuru.
Achukue tuu maana hata asipochukua huna akili ya kijua kama hapo ulipo Kuna Mali,hujui Cha kufanya,huna Teknolojia,huna soko yaani wewe ni mbumbumbu tuu..

Unachati hapa ulisoma shule walizokutengenezea Wazungu walau wakakupunguzia ujinga vinginevyo ungeishia kuwa kama sokwe.
 
Hamia ulaya sasa..
 
Alikuwa ni nani kama sio mzungu? Nyie si mlikuwa mnachezea bao tuu? Mnajua hata kazi yake?
Professional yangu ni Geology.. acha kubishana na mm kwenye hiyo sekta.

Kiufupi makampuni yote makubwa unayoyajua wewe yaliopo hapa bongo cjui Barrick ,Shanta na hao Anglogold Ashanti ..exploration nyingi wanazozifanya mpaka kupata hayo madini hutumia zaidi ideas za small scale .

Na ni wahuni sana wakishaona eneo kuna small scale washagundua kuna mali ndo wanajifanya kuanza utafiti.

Mzungu ni muhuni tu kama wahuni wengine.
 
Bwege wewe , geology Yako Ina Msaada gani Kwako na Kwa Nchi? Zaidi ya kukariri Elimu ya msingi una jipya gani?

Umegundua Madini gani Kwa utafiti au unasubiria mzungu? 🤣🤣
 
Tanzanite mtu wa kwanza kuigundua ni mtanzania ..acha siasa.

Geology yangu imesaidia wachimbaji wadogo zaidi ya 100 kupata mkanda wa madini(trend of mineralization)
 
😁😁😁😁😁😁😁😁🏃🏃🏃🏃🏃

Nimecheka sana au siyo mkanda wa Madini eti? 😝😝😝😝.

Ona hapa Cameroon kote huko Kuna wapiga domo kama wewe wa mkanda wa Madini ila hakuna kitu wanaweza kufanya Hadi aje mzungu kuongeza thamani ya maisha Yao.

Wewe ndo huna akili unashangilia vyandarua na Arvs .
Huna akili zaidi ya kupiga domo,saizi kule Kuna nickel Hadi mzungu aje awajengee kiwanda ila wapiga domo za.sijui mkanda wa Madini mpo tuu na geology zenu za kukariri.Rubbish.
 
Back
Top Bottom