Mnaa200
Member
- Mar 23, 2023
- 88
- 75
una ubongo mdogo sana yaani barabara hizo mbili ndo zimekuvuruga ..kweli tuna safari ndefu sana .Hujui kitu ila unapayuka tuu..
Wewe ndio ulitoa pes za kujenga Barabara ya Tunduma Sumbawanga?
Au wajomba zako ndio wlitoa pesa za kujenga Barabara ya Songea Masasi?
Au wewe ndio Huwa unatoa pesa za malaria,kifua Kikuu,ukimwi na chanjo?
Wewe unavyohisi sisi tunashindwa kujenga barabara kwa pesa zetu ...nenda kasome report ya CAG kwanza ndo ubishane na Mimi.