Rais Samia ampokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Ikulu Dar es Salaam leo Machi 30, 2023

Rais Samia ampokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Ikulu Dar es Salaam leo Machi 30, 2023

😁😁😁😁😁😁😁😁🏃🏃🏃🏃🏃

Nimecheka sana au siyo mkanda wa Madini eti? 😝😝😝😝.

Ona hapa Cameroon kote huko Kuna wapiga domo kama wewe wa mkanda wa Madini ila hakuna kitu wanaweza kufanya Hadi aje mzungu kuongeza thamani ya maisha Yao.

Huna akili zaidi ya kupiga domo,saizi kule Kuna nickel Hadi mzungu aje awajengee kiwanda ila wapiga domo za.sijui mkanda wa Madini mpo tuu na geology zenu za kukariri.Rubbish.
Nenda geita kuna mama mbongo kajenga refinery kubwa sana ya kusafisha pure gold.

Kila kitu tunaweza sema tunajidharau.
 
Nenda geita kuna mama mbongo kajenga refinery kubwa sana ya kusafisha pure gold.

Kila kitu tunaweza sema tunajidharau.
Huyo mmja ana connection na mzungu,mitambo yote kaagiza Kwa mzungu nyie wahandisi mavi mumeunda ipi?
 
Wewe ndo maana nakuambia hujui chochote kuhusiana na madini ..kuna migodi mingi sana inamilikiwa na wabongo this moment na hakuna mzungu wala mchina.

Nenda pale Busolwa mine,Stamigold,kiwira,
Yote hiyo ni migodi ya mzungu nyie mavi ni vibarua msio na Msaada
 
Hajaulizwa juu msimamo wake na ushoga African Countries...
kama no then the visit is meaningless
 
Yote hiyo ni migodi ya mzungu nyie mavi ni vibarua msio na Msaada
nenda tume ya madini kakate leseni ya utafiti au ya uchimbaji tuje tukuelekeze kazi..acha kuongea sana.

Watu ni mitaji tu ndo changamoto ila inshu za madini hazina ugumu wowote
 
nenda tume ya madini kakate leseni ya utafiti au ya uchimbaji tuje tukuelekeze kazi..acha kuongea sana.

Watu ni mitaji tu ndo changamoto ila inshu za madini hazina ugumu wowote
Sina ujinga huo Mimi,kama yote hayo mnafanya unamlalanikia mzungu Kwa Ajili ya nini Sasa..
 
Kwa sasa hivi msaada tunaoweza kuupata kutoka nchi yoyote ile duniani na ukawa ni wa maana kubwa kwa nchi yetu ni kutupa uwezo sisi wananchi kukabiliana na mafisadi na wakwapuzi walioenea kila mahala nchini mwetu.

Haya mengine yote ni mchezo uleule wa kutuweka chini ya himaya zao.
Yaani tunashindwa kudhibiti ubadhirifu mpaka mabeberu watusaidie ?....nadhani hatujaamua tu.
 
Sina ujinga huo Mimi,kama yote hayo mnafanya unamlalanikia mzungu Kwa Ajili ya nini Sasa..
Tanzania ina deposit kubwa sana ya madini ya chuma(iron) pale wilayani ludewa njombe ...kwa taarifa kila mwaka serikali inatumia zaidi ya trillion 2 kuagiza chuma nje ya nchi .

Tuko busy tunasubiria investors kutoka ulaya aje achimbe kumbe hata sisi tunaweza kuchimba hiyo chuma ..ni inshu tu ndogo serikali inawapa mitaji wazawa wenye nia ya kuendeleza huo mradi ...hiyo hela itakuwa inarudishwa kupitia production ya mradi husika.

Trillion 2 kila mwaka ..hizi ni pesa nyingi sana halafu mnalilia misaada
 
Uligundua wewe au mzungu? Nyie mbwa si ndio mnatusumbua huku mitaani na vifurushi,michanga,kokoto, tofari eti ndio Madini,ndio Madini mliyosomea na kugundua? Fala nyie kwanza acha kuongea ujinga unanichefua.
 
Uligundua wewe au mzungu? Nyie mbwa si ndio mnatusumbua huku mitaani na vifurushi,michanga,kokoto, tofari eti ndio Madini,ndio Madini mliyosomea na kugundua? Fala nyie kwanza acha kuongea ujinga unanichefu

Uligundua wewe au mzungu? Nyie mbwa si ndio mnatusumbua huku mitaani na vifurushi,michanga,kokoto, tofari eti ndio Madini,ndio Madini mliyosomea na kugundua? Fala nyie kwanza acha kuongea ujinga unanichefua.
Acha panic za kishamba tulia nikupe pindi..next time jifunze vitu vya kuposti sio kushangilia ujinga wa vyandarua.
 
Umetuahidi humu kwamba hutaitetea na kuisifia Serikali kwa sababu ya report ya CAG. Kuacha Uchawa na Ukiroboto siyo kazi rahisi ujue[emoji41][emoji846]
Akiacha hicho kibarua cha uchawa ataishije sasa ?
 
Acha panic za kishamba tulia nikupe pindi..next time jifunze vitu vya kuposti sio kushangilia ujinga wa vyandarua.
Tafuta wajinga wenzako kawaambie Madini mliyosomea ni michanga,mavumbi,matofaro na kokoto
 
Tafuta wajinga wenzako kawaambie Madini mliyosomea ni michanga,mavumbi,matofaro na kokoto
Wee kweli mshamba yaani kugundua madini ndo unashangaa ..nenda vijini huko geita watu kila siku wanagundua maeneo yenye dhahabu tena bila ya vifaaa..nakuona kama mshamba usiyejua chochote.
 
Back
Top Bottom