PostGE2025 Rais Samia amtaka Mwigulu Nchemba kufuata nyayo za Majaliwa

PostGE2025 Rais Samia amtaka Mwigulu Nchemba kufuata nyayo za Majaliwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
"Umepokea kijiti kutoka kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimwa Kassim Majaliwa ambaye amefanya kazi nzuri kufanikisha tunayotamba nayo leo, tukitamba na vituo vya shule, vituo vya afya, Mahospitali ya Rufaa ya Kanda. Kila tunachotamba nacho leo yeye alikuwa nyuma yangu kuhakikisha mambo yanakwenda vizuri. Kwa hiyo umepokea kijiti kutoka kwa mfanyakazi mzuri ambaye sina shaka utafuta miguu yake na utaongeza pale unapohisi panahitaji kuongezwa nguvu"

Hayo ameyasema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 14, 2025 akiwa Ikulu jijini Dodoma akimuambia Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba baada ya kumuapisha.

Soma pia: Rais Samia kumuapisha Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu kesho Novemba 14, 2025

 
Back
Top Bottom