PostGE2025 Rais Samia amteua Binti yake Wanu Hafidh, kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Waziri ni nafasi ya kisiasa isiyo na faida kwa mwananchi, ndio maana yoyote anaweza kuwa wizara yoyote bila kujali utalaamu, elimu, Yani hakuna vigezo, ndio maana Kabudi alikuwa Wizara ya sanaa na michezo na sasa hivi Mchengerwa yuko Wizara ya afya.

Kua serious serious basi Mkuu, Waziri nafasi yake haina Faida yeyote wakati kanuni zote na sera chini ya Sheria yeye ndo anazipitisha na kusaini.

Yeye ndo anaandaa badget na kupeleka bungeni na kusimamia matumizi yake.

Alipo kua waziri wa elimu Ndakichako umesahau mabadiriko aliyo yafanya kwenye Sector ya Elimu ikiwa ni pamoja na kupandisha passmark za kuingia chuo kikuu, kuzuia walio soma CBG kusomea Udaktari, Unesi na Pharmacy.
 
Hapa na pale
 
Hii familia na elimu ni mbingu na nchi
 
Haitutoi kwenye attention ya video za miili ya watu waliouwawa kutupwa bila staha mortuary.

Muuaji ataenda mahakamani tu ni suala la muda , hakukua na uchaguzi tarehe 29 bali mauaji huyu sio rais.

Hakuna rais wala mawaziri hilo ni baraza la udaku na mipasho sio mawaziri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…