Mkuu nimeangalia CV now Hoya hapana kwa kweli kaunga sana yaani hata degree kashindwa kupata sikatai mtu kufeli form 4 au 6 haimaanishi wewe ni kilaza lakini kama ukajiendeleza vizuri but nikiangalia CV ya muda yaani ni Kama vile alikuwa anasomea chetiMtu mwenye CV ya ******* kama huyo Wanu anapewaje unaibu waziri kwenye wizara nyeti kama hiyo ya Elimu?. Hivi wewe unajitambua kweli?, Aisee.