Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Niwakumbato huyo mamaDu angesubiri kwanza hi hali itulie. Kweli huyu ndiye dikteta kamili hana mchezo
Niwakumbato huyo mamaDu angesubiri kwanza hi hali itulie. Kweli huyu ndiye dikteta kamili hana mchezo
Huyo ridhiwani bogas hawezi kuiongoza tanzaniaHapa hawa ******* Samia na kikwete wanataka 2030 Ridhiwan awe rais Tanzania na Wanu awe rais Zanzibar... Huko mbeleni tutashindwa hata kupumua maana watatuwekea mifumo migumu kama ile ya Fc Barcelona ya 2010's.
Lakini ndio wanaongoza NchiHii familia na elimu ni mbingu na nchi
Ongeza na mkwewe na watoto wa Kikwete na Thabit Kombo. Heri tuvunje huu mgongano uchwara kieleweke bila kujali ulianzishwa na Nyerere au Marekani. Imetoooosha.Daah ! Inaumiza sana
Ka copy na ku paste na hakina Mkunda wanaangalia tu
Mkuu bogas Samia mbona amekua rais.. hata Ridhiwan nae wanachezesha tu...Huyo ridhiwani bogas hawezi kuiongoza tanzania
Ndalichako anapaswa kurudishwa wizata ya Elimu.Kua serious serious basi Mkuu, Waziri nafasi yake haina Faida yeyote wakati kanuni zote na sera chini ya Sheria yeye ndo anazipitisha na kusaini.
Yeye ndo anaandaa badget na kupeleka bungeni na kusimamia matumizi yake.
Alipo kua waziri wa elimu Ndakichako umesahau mabadiriko aliyo yafanya kwenye Sector ya Elimu ikiwa ni pamoja na kupandisha passmark za kuingia chuo kikuu, kuzuia walio soma CBG kusomea Udaktari, Unesi na Pharmacy.
😂😂😂😂😂Familia kivipi?..mama ana advanced diploma mzumbe,post graduate diploma Manchester university, masters degree open university
😂😂😂😂😂Hii familia na elimu ni mbingu na nchi
Huyo mkenda wako akileta ujuaji na ujivuni atang'oka yeyee.Kwa hii CV ndio atakaa na Prof Mkenda kujadili namna ya kusukuma elimu ya Tanzania 🤔🤔🤔
Mkenda alivyo na dharau sijui tuite kujiamini, hawatadumu.
Makonda? Huyu naibu waziri wa Michezo?Kwa hii Elimu hapana, sawa unaweza kufeli form 4 au six lakini ukajiendeleza vizuri na ukawa competent Kama alivyo Makonda lakini kwa huyu kashindwa hata kufanya vyema huko mbele labda tuone kwenye utendaji inaweza kuwa ana maarifa
Nimecheka hapa, eti Makonda ni competent,Kama unaona makonda ni competent basi tuishie hapo😁😁😁😁 ni huzuni
Waja mmevurugwaaa, 😂😂😂😂Kwa hiyo hapo wizara ya elimu inatombwa na wizara ya afya
😂😂😂😂😂Hapa hawa ******* Samia na kikwete wanataka 2030 Ridhiwan awe rais Tanzania na Wanu awe rais Zanzibar... Huko mbeleni tutashindwa hata kupumua maana watatuwekea mifumo migumu kama ile ya Fc Barcelona ya 2010's.
2030 lazima awe mkristo, hatutakubali kuchezewa.Mkuu bogas Samia mbona amekua rais.. hata Ridhiwan nae wanachezesha tu...
Just imagine 2030 wapo kikwete na Samia kwenye huo mchujo wa wagombea wa Ccm we unategemea nini hapo.