Halafu elimu sio swala la muungano.... inakuaje mzanzibar anakuwa waziri anayeshukulikia elimu???
Kwani Kuna shida gani mtu kufeli form 4 alafu akajiendeleza vizuri sana mbona Makonda nae hivyo hivyo alafu muangalie kichwani na namna anavyodress Mambo unaona kabisa ni msomi tusiwe watu wakupingapinga kila Jambo tupime Kwanza utendaji wa mtu alafu then tujudge sisi pale ubungo tuna Kitila mkumbo ndio mbunge wetu tangu awe mbunge wa hapo hakuna chochote alichofanya ila ukiangalia Elimu imeshiba mno ni professor lakini asiye na impact yoyoteElimu ya kuunga unga. Bila shaka form 6 alizungusha. Leo hii ndiyo ana jukumu la kuelekeza elimu ya taifa. Jamaniii!
View attachment 3503259
Elimu za hapa na pale na mafunzo mbalimbali Karachi ,PakistanMember of the House CV
Salutation: Honorable Last Name: Ameir Middle Name: Hafidh First Name: Wanu Date of Birth: 09th February, 1982 Member Type: Special Seat Constituency: - Political Party: CCM Office Location - Telephone Number: -Mobile Number: +255779693864 or 0717693864Office Email: - Personal Email: [email protected] Year Started: 2005 Terms: Second
[th]
GENERAL INFORMATIONS
[/th][td]
Member picture
![]()
[/td]
Centre for Foreign Relations International Relations and Diplomacy 2007 2008 Diploma Info- Serve Institute Legal Assistance 2005 2006 Certificate Kawand Secondary School- Uganda Secondary Education 2001 2002 A Level Kawanda Secondary School- Uganda Secondary Education 1997 2000 O Level M/Kwerekwe B Primary School Primary Education 1990 1996 Primary
[th]
EDUCATION
[/th]
[th]
School Name/Location
[/th][th]
Course/Degree/Award
[/th][th]
Start Date
[/th][th]
End Date
[/th][th]
Level
[/th]
SMZ (Ministry of Tourism, Trade and Investment) Administrative Officer 2010 2010
[th]
EMPLOYMENT HISTORY
[/th]
[th]
Institution /Company
[/th][th]
Position
[/th][th]
From Date
[/th][th]
End Date
[/th]
CCM National Executive Committee Member 2010 To date CCM Chairman of CCM Youth - South, Unguja 2008 2012
[th]
POLITICAL EXPERIENCE
[/th]
[th]
Political Party /Location
[/th][th]
Position
[/th][th]
From Date
[/th][th]
End Date
[/th]
Training on Growth for Development United Kingdom 2014 2014 Certificate Zanzibar Law Resource Center Certificate 2013 2013 Certificate Training on Leadership Development House of Representatives 2013 2013 Certificate Computer Course Karume 2003 2004 Certificate
[th]
TRAININGS / SHORT COURSES
[/th]
[th]
Name
[/th][th]
Location
[/th][th]
From Date
[/th][th]
End Date
[/th][th]
Award
[/th]
Elimu yake ina shida gani Kama amejiendeleza vizuri tumpime mtu kwenye utendaji wa mtu ndio itakupa picha halisi sio kwa kuangalia CV yake pekee, Kitila mkumbo amekuwa mbunge wa ubungo hakuna chochote alichofanya jimboni wakati ana CV nzuri sanaHii familia na elimu ni mbingu na nchi
Ukilaza wake ni upi wakati hatujampima vizuri kiutendaji tuna wasomi wenye CV kubwa sana lakini ukija kwenye utendaji hawana tofauti na hawa wasiosoma sana na ndio maana msukuma huwa anawadhiakiWanasemaga akili hutoka kwa mama...
Hii familia imejaa vilaza
Wale masheikh sijui wako wapi? 🤣🤣Halafu watu bado watatetea huu Uhuni.....!!
Member of the House CV
Salutation: Honorable Last Name: Ameir Middle Name: Hafidh First Name: Wanu Date of Birth: 09th February, 1982 Member Type: Special Seat Constituency: - Political Party: CCM Office Location - Telephone Number: -Mobile Number: +255779693864 or 0717693864Office Email: - Personal Email: [email protected] Year Started: 2005 Terms: Second
[th]
GENERAL INFORMATIONS
[/th][td]
Member picture
![]()
[/td]
Centre for Foreign Relations International Relations and Diplomacy 2007 2008 Diploma Info- Serve Institute Legal Assistance 2005 2006 Certificate Kawand Secondary School- Uganda Secondary Education 2001 2002 A Level Kawanda Secondary School- Uganda Secondary Education 1997 2000 O Level M/Kwerekwe B Primary School Primary Education 1990 1996 Primary
[th]
EDUCATION
[/th]
[th]
School Name/Location
[/th][th]
Course/Degree/Award
[/th][th]
Start Date
[/th][th]
End Date
[/th][th]
Level
[/th]
SMZ (Ministry of Tourism, Trade and Investment) Administrative Officer 2010 2010
[th]
EMPLOYMENT HISTORY
[/th]
[th]
Institution /Company
[/th][th]
Position
[/th][th]
From Date
[/th][th]
End Date
[/th]
CCM National Executive Committee Member 2010 To date CCM Chairman of CCM Youth - South, Unguja 2008 2012
[th]
POLITICAL EXPERIENCE
[/th]
[th]
Political Party /Location
[/th][th]
Position
[/th][th]
From Date
[/th][th]
End Date
[/th]
Training on Growth for Development United Kingdom 2014 2014 Certificate Zanzibar Law Resource Center Certificate 2013 2013 Certificate Training on Leadership Development House of Representatives 2013 2013 Certificate Computer Course Karume 2003 2004 Certificate
[th]
TRAININGS / SHORT COURSES
[/th]
[th]
Name
[/th][th]
Location
[/th][th]
From Date
[/th][th]
End Date
[/th][th]
Award
[/th]
Ndio alifeli lakini si alijiendeleza vizuri wewe unajudge vipi ikiwa haujaona utendaji wakeHuyu mpumbavu alitefeli shule anawezaje kuongoza wizara ya elimu?
Kama ana sifa hana haki kisa mtoto wa kiongozi?
Kwani Kuna shida gani mtu kufeli form 4 alafu akajiendeleza vizuri sana mbona Makonda nae hivyo hivyo alafu muangalie kichwani na namna anavyodress Mambo unaona kabisa ni msomi tusiwe watu wakupingapinga kila Jambo tupime Kwanza utendaji wa mtu alafu then tujudge sisi pale ubungo tuna Kitila mkumbo ndio mbunge wetu tangu awe mbunge wa hapo hakuna chochote alichofanya ila ukiangalia Elimu imeshiba mno ni professor lakini asiye na impact yoyote
Hizi notion za kipumbavu ndio zimefikisha taifa hapa... nchi zinazojitambua hizo ni nafasi za msingi sana, sababu ndio zinashape wizara iende vipi. Kwanza inabidi mtu achujwe haswa competence yake na akiwekwa asihamishwe hovyo hovyo ili kuleta matokeoWaziri ni nafasi ya kisiasa isiyo na faida kwa mwananchi, ndio maana yoyote anaweza kuwa wizara yoyote bila kujali utalaamu, elimu, Yani hakuna vigezo, ndio maana Kabudi alikuwa Wizara ya sanaa na michezo na sasa hivi Mchengerwa yuko Wizara ya afya.
😂😂😂😂 Elimu za hapa na pale 🤣🤣🤣Elimu za hapa na pale na mafunzo mbalimbali Karachi ,Pakistan
Ndio point yangu kubwa, nafasi ya uwaziri iko kisiasa tu, hakuna vigezo, hakuna kuchujwa, hakuna uwajibikaji, akitoka kuwa waziri bado anaendelea kula msharahara kama mbunge.Hizi notion za kipumbavu ndio zimefikisha taifa hapa... nchi zinazojitambua hizo ni nafasi za msingi sana, sababu ndio zinashape wizara iende vipi. Kwanza inabidi mtu achujwe haswa competence yake na akiwekwa asihamishwe hovyo hovyo ili kuleta matokeo
Like mother like daugherHapa na pale