Vitu kama hivi vinahutaju kufutwa... ni sawa na ile system ya kuhamisha hamisha wakuu wa mikoa na wilaya. Ni ujinga. Wale ndio engine ya wilaya na mkoa. Ukihamisha hamisha utendaji wao faida inaokena wapi?????Ndio point yangu kubwa, nafasi ya uwaziri iko kisiasa tu, hakuna vigezo, hakuna kuchujwa, hakuna uwajibikaji, akitoka kuwa waziri bado anaendelea kula msharahara kama mbunge.
Zaidi kwenye bunge la chama kimoja, hakuna uwajibikaji kabisa.
We are a broken country. China tu, kuna nafasi hugusi kama sio technocrat, ila huku ndo hivyo kikubwa loyalty, competence sio kipaumbele