Rais Samia amteua Brigedia Generali Nduku Mabele kuwa Mkuu wa JKT, na Kanali Lyanga Shausi kuwa Mkurugenzi wa SUMA - JKT

Naona utaratibu mpya wa kuweka wasifu unaanza kutumika, baada ya wanaJamiiForums kila mara kudai C.V za wateuliwa.

Pongezi kwa mamlaka za uteuzi ya awamu ya sita na hususan kitengo cha Kurugenzi ya habari na uhusiano cha TPDF / JWTZ, kuanza kutuwekea wasifu kamili wa waliobahatika kuteuliwa, na kwa mtindo huu taarifa kwa umma inakuwa imekamilika.
 
Tunarejea kwenye utawala wa uwazi
 
Mpaka sasa hivi wasifu wa Sendiga haujulikani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…