T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Brig. Gen. Juma Nkaanga Issa Sipe wa Mkurugenzi ya Habari. Nilikuwa sijui, sio kama siku ile walimleta Mwakibolwa aeleze vifo vya wanajeshi akasema "tunawaombea marehemu wapone haraka ". Hata ule mlipuko wa mabomu kuna mmoja alitetereka kutoa maelezo.Brigedia Generali Nduku Mabele ateuliwa kuwa Mkuu wa JKT, na Kanali Lyanga Shausi Mkurugenzi wa SUMA - JKT
View attachment 1791307View attachment 1791308
Inasikitisha sana yaani tunaanza kuwa kama raia wa nchi zinazotuzunguka.....Acha kupandikiza Mbegu ya chuki na ya kikabila
General mmoja CDF, kuwa na Major watatu wa maji, anga na nchi kavu kila mmoja. Kuwa na Chief of Staff akiwa Major.Huyu Brig hapandishwi cheo ? Maana Mkuu JKT huwa Maj Gen ......au ni suala la muda ?
Unapuliza mkuu 😂Hiyo simu ya upepo inapigwaje jamani?
Unajua mama uwa anasahau akianza kumuapisha ndio atakumbuka, refer ishu ya KafulilaHuyu Brig hapandishwi cheo ? Maana Mkuu JKT huwa Maj Gen ......au ni suala la muda ?
KAfulila ilitokeaje mkuu? Sijaangalia uapisho wake.Unajua mama uwa anasahau akianza kumuapisha ndio atakumbuka, refer ishu ya Kafulila
Ndiyo lengo haswaNdani ya muda usiozidi mwaka mmoja anapandishwa kuwa meja jenerali
Arusha kwenda Simiyu mkuu.KAfulila ilitokeaje mkuu? Sijaangalia uapisho wake.
Arusha kwenda Simiyu mkuu.
Kongole kwako, Sasa naona Mama anadeki kabisa, kuna mambo mengi tusiyo fahamu, ya huyu bwana kupelkwa Kagera nlijua tu kuna jambo flani hivi , sema ndo kama vile tupotezee.Brigedia Generali Nduku Mabele ateuliwa kuwa Mkuu wa JKT, na Kanali Lyanga Shausi Mkurugenzi wa SUMA - JKT
View attachment 1791307View attachment 1791308
Kutoka ukuu wa JKT mpaka ukuu wa mkoa.
Hii kibaharia inaitwaje na kitaalamu inaitwaje wakuu
Mi nilidhani mlija mmoja wa unyonyaji unakatika automatic!Huyo anakula hela mara mbili.
Hela za jeshini na za ukuu wa mkoa.
Huyo anaweza kuwa kwenye kundi moja la wenye CV kizungumkuti, kama yule mkurugenzi mstaafu wa TPDC aliyekuwa mhitimu wa St.Yohana University evening class, aliyedumu kwa masaa 6.... si watazamaji na kazi iendelee.Nakumbuka ni mwalimu kitaaluma Uyo Sendiga
Mi nilidhani mlija mmoja wa unyonyaji unakatika automatic!
Mi nilidhani mlija mmoja wa unyonyaji unakatika automatic!Huyo anakula hela mara mbili.
Hela za jeshini na za ukuu wa mkoa.
Dah!We Acha Tu.
Kuna watu Wana bahati.
Wana KAZI mbili Kwa wakati mmoja.