Rais Samia amteua Brigedia Generali Nduku Mabele kuwa Mkuu wa JKT, na Kanali Lyanga Shausi kuwa Mkurugenzi wa SUMA - JKT

Unamjua Mwakibolwa Wewe aliyekuwa Mkuu wa Oparesheni za kijeshi au unaongea tuu baada ya kushiba ubwawa
 
Mkuu, huyo Mabele siyo sukuma gang kweli? Naona kama jina linafanana na jamaa wa huko! Kwa kuwa wewe ni mchambuzi mzuri wa sukuma gang labda unaweza kutueleza vizuri.
Wote wawili ni Wasukuma kufuatana na utambulisho wa Majina.

Na hata hivyo mama kateuwa wengi kanda ile yawezekana kuliko mwendazake. Majaji 27 walioteuliwa 14 kanda ile. Although ni wengi lakini sio kwa kiwango hicho.
 
Kumbe hizi teuzi za Kijeshi ni bora taarifa kwa umma wawe wanatoa wenyewe kama hivi. Taarifa imeandikwa kisomi na kiuwazi kabisa. Hongera kwa wateule na hongera kwa jeshi letu pendwa JWTZ.
Nazikumbuka enzi za Msigwa Ikulu
 
Jeshini kwanzia cheo cha Luteni Kanali kwenda juu kuna ahueni kubwa, hakuna njaa hata moja!! ila Meja kushuka chini tena bila kitengo ni njaa kali tu, unaishia kupigiwa saluti ila mfukoni majanga.
 
Jeshini kwanzia cheo cha Luteni Kanali kwenda juu kuna ahueni kubwa, hakuna njaa hata moja!! ila Meja kushuka chini tena bila kitengo ni njaa kali tu, unaishia kupigiwa saluti ila mfukoni majanga.
Kuna Mjeda mmoja nadhani ni Meja anaishi Goba yupo vizuri sana kimaisha. Na hata hao wengine sijui kapteni na nyota 2 sijawahi kuona wenye dhiki. Wengi ninaowajua wana nyumba za Maana na Magari. Hata wale wanaovaa lisaa.

Hivyo wewe ni Muongo. Huenda umechukuwa reference ya ndugu yako Mlevi
 
Unajua vigezo hadi mtu akiseme yupo vizuri kimaisha anatakiwa aweje? nafikiri hapa ndipo tunatofautiana.
 
Hiyo simu ya upepo inapigwaje jamani?
Mkuu kwa umakini wako wa kuchunguza nakuteua kuwa Naibu Mchunguzi Mkuu wa JF πŸ˜‚πŸ˜‚

Simu ya upepo nahisi ni 'redio koo'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…