mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Nani kakudanganya? unapewa mshahara mmoja mkubwa kwingineko posho tu
Nadhani alikua na maana ya "Major General" Lakini hakutakiwa kuandika hivyo kama anazijua vizuri ranks za jeshi kwa sababu kuna rank ya Major ambayo siyo General. Pia "Lieutenant General" huwezi kuandika tu "Lieutenant" kwa sababu kuna rank "Lieutenant Colonel" ambayo siyo GeneralMajor unamjua?
Ali tweet siku 3 kabla kuapishwa kuwa kutakuwa changes ....kidogoUnajua mama uwa anasahau akianza kumuapisha ndio atakumbuka, refer ishu ya Kafulila
Okay sikuwa najua hilo na asante kwa masahihisho mkuu.Ali tweet siku 3 kabla kuapishwa kuwa kutakuwa changes ....kidogo
wale jamaa wa upande ule wamevumilia sana kuonesha hisia zao za upande kwenye uzi huu. na nimeusoma mpaka hapa ulipofikia sijaona hata mmoja aliyeeleza zile hisia zao za kishetani humu. nadhani wanaishia kutukana tu ila kuandika wanajisitukia. kuna mengi wamejifunza kutoka upande huu. mwendazake alipokuwa akiteua upande mmoja hatukuongea, tulinyamaza kimya na tukaendelea na kazi zetu. nadhani wamejifunza kitu au wanaona aibu, maana hao jamaa kwa roho mbaya hawajambo.Wale wafia dini wataangalia jina "Rajabu" maana wanachotaka wao teuzi zote ziwe upande wa pili.
Ushakuwa mwingereza mara?Ndiyo nini utambuzi in english
Kwa utaratibu wa Selikali hakuna mtu Analipwa mshahara Mara 2, hicho kitu hakuna, nakumbuka Jana Kuna mtangazaji wa Wasafi alimhoji Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, KAMISHNA ANDENGENYE Kuwa mnalipwa mishahara miwili wa Kamishina wa police na Ukuu wa Mkoa alikataa na kujibu kuwa Hakuna mwajiliwa wa Selikali anayepokea mishahara miwili.We Acha Tu.
Kuna watu Wana bahati.
Wana KAZI mbili Kwa wakati mmoja.
Ghafla zitakuwa zilipendwaNazikumbuka enzi za Msigwa Ikulu
Mimi kiswahili na kiingereza ni lugha ngeni. Kwetu kama hukuenda shule huwezi kujua kiswahili. haya maneno ya kiswahil wanayounda kienyeji waulize etymological origin ni ipi, they will never tell you!Ushakuwa mwingereza mara?
Huu ni uteuzi safi kabisa!. Uteuzi jeshini, unategemea ukakamavu!. CDF, kuna Ngw'anangosha mkakamavu Mabeyo, sasa na JKT mmeletewa Ngwanangosha mkakamavu Mabele!. Wale waliokuwa wakimtuhumu Mwendazake kwa kuteua Wasukuma, mkome!. Uteuzi hauangalii kabila la mtu, unaangalia, sifa, vigezo na ukakamavu. Wasukuma, kina Ngwanangosha ni wakakamavu sana!.Brigedia Generali Nduku Mabele ateuliwa kuwa Mkuu wa JKT, na Kanali Lyanga Shausi Mkurugenzi wa SUMA - JKT
View attachment 1791307View attachment 1791308
Hujanielewa!Mkuu umekuwa mkaburu sana, sijui huo ukabila unakunufaisha au kukukosesha nini bwashee.
Hujanielewa mkuu. Mimi siyo shabiki wa ukabila hata kidogo. Nimeuliza hilo swali makusudi kwa mtu ambaye ni shabiki mkubwa wa ukabila. Kwenye post zake nyingi sukuma gang haikosekani!Acha kupandikiza Mbegu ya chuki na ya kikabila
Unamimya kitufe halafu unaita Ngome watakusikia wahusika wasipokusikia acha ondoka ulipo chuchumaa tu watakuja kukusaidia wenyeweHiyo simu ya upepo inapigwaje jamani?
MIKOPO tofauti na hapo huyo jamaa yuko sahihi kabisa......Kuna Mjeda mmoja nadhani ni Meja anaishi Goba yupo vizuri sana kimaisha. Na hata hao wengine sijui kapteni na nyota 2 sijawahi kuona wenye dhiki. Wengi ninaowajua wana nyumba za Maana na Magari. Hata wale wanaovaa lisaa.
Hivyo wewe ni Muongo. Huenda umechukuwa reference ya ndugu yako Mlevi
Sasa si ndo kula Mara mbili kiongozi huko. Unapata mshahara wa jeshi na posho ya ukuu wa mkoa.Nani kakudanganya? unapewa mshahara mmoja mkubwa kwingineko posho tu
Hayupo Sahihi hata kidogo. Kama tu wale wasio na nyota wanaweza kujenga nyumba za maana na kumiliki gari na watoto wanasoma shule za maana tu halafu eti wenye nyota wawe choka mbaya!!!!.MIKOPO tofauti na hapo huyo jamaa yuko sahihi kabisa..
Huyu mtu anaonekana yuko smart sana kichwani. Yaani kuna miradi yake anaendesha pale Chita JKT Mororgoro ya kushangaza sana. Akili kubwa sana imetumika kwenye ubunifu wa miradi hiyo. Nimewahi kuiona kwenye makala za Kishindo cha Awamu ya Sita; na mtangazaji Agnes Mbapu. Jamaa yuko smart sana. Yaani mtu hapa una-feel kabisa kuwa kuna kiongozi wa wanachi mahali fulaniBrigedia Generali Nduku Mabele ateuliwa kuwa Mkuu wa JKT, na Kanali Lyanga Shausi Mkurugenzi wa SUMA - JKT
View attachment 1791307View attachment 1791308
Are you sure?Jeshini kwanzia cheo cha Luteni Kanali kwenda juu kuna ahueni kubwa, hakuna njaa hata moja!! ila Meja kushuka chini tena bila kitengo ni njaa kali tu, unaishia kupigiwa saluti ila mfukoni majanga.