Rais Samia amteua Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania

Hongera sana.

....ni kazi tu

Nitatia tiki Oktoba.

Kafure
 
Jaji mkuu humwapisha Rais wa Jamhuri. Rais humuapisha jaji mkuu. Which is which. Ila katiba yetu. Kivyetu vyetu
 
Alichemsha sana Pale Bungeni TAL alikua anamgaragaza kama mwanae. Mpaka mtemi Chenge anakuja kuokoa jahazi,halafu kibaya zaidi Chenge akija anatoa hoja halafu anamaliza kwa kukubaliana na mapendekezo ya TAL. 😂😂😂😂
Labda amejiendeleza kidogo! 🥱🤭🤷
 
Nilichogundua kila Mwanadamu huku Duniani ana bahati katika majira fulani ya mwaka na vilevile kuna namba fulani ambazo anakuwa na bahati nazo, huyu Mteuliwa inaonesha kwake Miezi ya January na June imemkalia vyema aidha namba 5 mwishoni mwa namba ya kila mwaka ina bahati kwake. Namtakia kila la kheri kwenye nafasi yake hii mpya na ya mwisho katika mhimili huo.
 
No Reforms No Elections.
 
Naona mmepewa mtu wenu ili muwe mnanyooshwa na mtu wa upande wenu
My thoughts as well, ameona watu wanaanza kustuka mdogomdogo. All in all Gwajiboy alishafafanua, kwa kulinda ugali wao hawaangalii interest za taifa bali matakwa ya Chura Kiziwi.
 
J
Jan, 2025 Jaji wa Mahakama ya Rufaa; June, 2025 Jaji Mkuu wa Tanzania!!??
 

Siku akiapishwa kuwa mwanasheria Mkuu wa Tanzania, bwana George Mcheche Masaju; na aliyekuwa Rais wa nchi enzi hizo, ndugu Jakaya Kikwete
View: https://www.instagram.com/reel/DK1PoOvh3aM/?igsh=MzMzbjV1MmkxY2p2
 
Pongezi kwake kwa kuaminiwa na Rais.
Hakika anastahili, kwani ni mtu mtenda haki asiye penda uonevu.

Asimamie haki ndani ya muhimili wenyewe kwanza, aangalie watumishi walio ndani ya mhimila, ondoa uonevu miongoni mwa watumishi.

Jenga ummoja na mshikamano ndani ya muhimili, ondoa matabaka, ondoa uonevu, tenda haki kwa wote.

Asikubali kuyumbishwa na kundi la watumishi wakongwe ambao ni wafitini na wapiga majungu.



.
 
Januari 02, 2015 - Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete alimteua George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, sasa Rais Samia amemtua kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania

Wanaojiita wanachama wa CCM someni hapa,kama hamtanielewa nitawaelewesha.

No Reforms,No election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…