Justard zelphine
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 461
- 278
Haya mambo ya teuzi ni mabaya sana! Ndo maana viongozi wengi wanaishia kusifia tu!
CCM inatudanganya inaongoza nchi,kumbe nchi inaongozwa na familia mbili Hadi Tano.Hivi hii nchi watu ni walewale tuuu, hakuna wengine jamani
Na Saa100 ni kiumbe hatari Duniani.Haya mambo ya teuzi ni mabaya sana! Ndo maana viongozi wengi wanaishia kusifia tu!
kweli kabisa, kama Mtungi tuNaona mmepewa mtu wenu ili muwe mnanyooshwa na mtu wa upande wenu
Umbwe Sec au UDSM?Classmate
Kibaraka, hamna kitu hapo ni maumivi matupuRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani Mheshimiwa George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania. Mheshimiwa Masaju anachukua nafasi ya Mheshimiwa Prof. Ibrahim Hamis Juma ambaye amestaafu.
Uapisho wa Jaji Mkuu utafanyika tarehe 15 Juni, 2025 Ikulu, Chamwino Dodoma kuanzia saa 4.00 asubuhi.
2009 - 2015: Bwana Masaju, aliyewahi kuwa Mshauri wa Sheria wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Januari 02, 2015 - Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete alimteua George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Uteuzi alioendelea kuwa nao hata wakati wa Magufuli
Februari 01, 2018 - Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Magufuli alimteua George Mcheche Masaju kuwa Jaji wa Mahakama Kuu
Aprili 20, 2023 - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alimteua Jaji George Masaju kuwa Mshauri wa Rais, Masuala ya Sheria (Advisor to the President - Legal Affairs), akiwa bado ni Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma.
Januari 10, 2025 - Rais Samia Suluhu alimteua Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani.
Juni 13, 2025: Rais Samia amemtua kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania akichukua nafasi ya Jaji Mstaafu Ibrahim Juma
Hili ni deni la Samia msinihusishe!
Kumbe ni yule!Alichemsha sana Pale Bungeni TAL alikua anamgaragaza kama mwanae. Mpaka mtemi Chenge anakuja kuokoa jahazi,halafu kibaya zaidi Chenge akija anatoa hoja halafu anamaliza kwa kukubaliana na mapendekezo ya TAL. 😂😂😂😂
Kwa namna yoyote ile kuna tatizo kubwa kwenye idara zinazomzunguka mteuzi..nafasi nyingi za uteuzi kwa sasa zimeegemea sana mkoa wa mara, kwa mara nyingine anateuliwa Jaji mkuu kutoka mara tena, kumbuka makamu mwenyekiti wa ccm ni kutoka mkoa wa mara..na wengine wengi, mafuru aliyepita, mafuru wa utalii, mkurugenzi wa tanesco aliyekufa, mkurugenzi wa benki ya kilimo, juzi tu bwn nyasaho mkurugenzi psssf..ni km vile tiss ina watu wengi kutoka mkoa wa mara ndio maana ni rahisi sana kuconspire kufanya uovu na kuutetea..jibu la hali km hii ni katiba mpya, mamlaka za kufanya vetting na uteuzi ha,iwezi kuwa chini ya watu wachache kutoka mkoa mmoja!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani Mheshimiwa George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania. Mheshimiwa Masaju anachukua nafasi ya Mheshimiwa Prof. Ibrahim Hamis Juma ambaye amestaafu.
Uapisho wa Jaji Mkuu utafanyika tarehe 15 Juni, 2025 Ikulu, Chamwino Dodoma kuanzia saa 4.00 asubuhi.
2009 - 2015: Bwana Masaju, aliyewahi kuwa Mshauri wa Sheria wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Januari 02, 2015 - Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete alimteua George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Uteuzi alioendelea kuwa nao hata wakati wa Magufuli
Februari 01, 2018 - Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Magufuli alimteua George Mcheche Masaju kuwa Jaji wa Mahakama Kuu
Aprili 20, 2023 - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alimteua Jaji George Masaju kuwa Mshauri wa Rais, Masuala ya Sheria (Advisor to the President - Legal Affairs), akiwa bado ni Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma.
Januari 10, 2025 - Rais Samia Suluhu alimteua Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani.
Juni 13, 2025: Rais Samia amemtua kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania akichukua nafasi ya Jaji Mstaafu Ibrahim Juma
Ingawa nafahamu kwamba kuna utaratibu wa rais kumteua jaji mkuu hata hivyo kwa uteuzi huu wa jaji Masaju mimi naona kama ifuatavyo;Jaji George Masaju jaji wa mahakama ya rufani Tanzania ameteuliwa kuwa jaji mkuu wa mahakama ya Tanzania. Jaji George Masaju mbali na kuwa jaji wa mahakama ya rufani pia alikuwa mshauri wa rais wa masula ya sheria,kwa maana hiyo jaji Masaju ndo kamshauri rais amteue jaji Masaju kwa tafsiri nyingine jaji Masaju amejiteua kuwa jaji mkuu. Ingekuwa nchi kama Kenya uteuzi huu ungepingwa mahakamani na ungetenguliwa.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani Mheshimiwa George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania. Mheshimiwa Masaju anachukua nafasi ya Mheshimiwa Prof. Ibrahim Hamis Juma ambaye amestaafu.
Uapisho wa Jaji Mkuu utafanyika tarehe 15 Juni, 2025 Ikulu, Chamwino Dodoma kuanzia saa 4.00 asubuhi.
2009 - 2015: Bwana Masaju, aliyewahi kuwa Mshauri wa Sheria wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Januari 02, 2015 - Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete alimteua George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Uteuzi alioendelea kuwa nao hata wakati wa Magufuli
Februari 01, 2018 - Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Magufuli alimteua George Mcheche Masaju kuwa Jaji wa Mahakama Kuu
Aprili 20, 2023 - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alimteua Jaji George Masaju kuwa Mshauri wa Rais, Masuala ya Sheria (Advisor to the President - Legal Affairs), akiwa bado ni Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma.
Januari 10, 2025 - Rais Samia Suluhu alimteua Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani.
Juni 13, 2025: Rais Samia amemtua kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania akichukua nafasi ya Jaji Mstaafu Ibrahim Juma
??? Prof Ibrahim Juma kazaliwa tarehe 16,June 1958 KASTAAFU.J
Jan, 2025 Jaji wa Mahakama ya Rufaa; June, 2025 Jaji Mkuu wa Tanzania!!??