Rais Samia amteua Shedrack Mziray kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Shedrack Mziray TASAF.jpeg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bwana Shedrack Salmin Mziray kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF kuanzia tarehe 03 Julai 2024.

Kabla ya uteuzi huu Bwana Mziray alikuwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani (TASAF). Bwana Mziray alianza kukaimu nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF terehe 01/07/2023 baada ya kustaafu kwa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji, Ladislaus Joseph Mwamanga.
 
Hiyu jamaa ni muaminifu sanaa
 
MAKAFIRI TUWASIKIE WAKIULIZA HAPA JE HUYO NI MUISLAM AU MKRISRO??MAANA HILO JINA LAKE NI MIXER,TUONE SASA
 
Back
Top Bottom