Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Hiyu jamaa ni muaminifu sanaaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bwana Shedrack Salmin Mziray kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF kuanzia tarehe 03 Julai 2024.
Kabla ya uteuzi huu Bwana Mziray alikuwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani (TASAF). Bwana Mziray alianza kukaimu nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF terehe 01/07/2023 baada ya kustaafu kwa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji, Ladislaus Joseph Mwamanga.
Kulikua na haya gani ya kuleta udini? Ukute si muslim na hata kama ni muslim ni mhuni tuMAKAFIRI TUWASIKIE WAKIULIZA HAPA JE HUYO NI MUISLAM AU MKRISRO??MAANA HILO JINA LAKE NI MIXER,TUONE SASA
MAKAFIRI TUWASIKIE WAKIULIZA HAPA JE HUYO NI MUISLAM AU MKRISRO??MAANA HILO JINA LAKE NI MIXER,TUONE SASA
Huyo ni mkristo ila kazaliwa na mzazi muislamMAKAFIRI TUWASIKIE WAKIULIZA HAPA JE HUYO NI MUISLAM AU MKRISRO??MAANA HILO JINA LAKE NI MIXER,TUONE SASA
Mkuu sie hatuna uhuru wa maoni?Nilipoona Covax ameandika kuwa huyu jamaa ni muaninifu sana,nikajua tu kuwa THE BIG SHOW pamoja na dada FaizaFoxy hawapo mbali.
Mtu anapewa elfu 22 baada ya miezi 3 ni mambo ya kijinga snTasaf ni Chaka la Wizi
Mfuko huu ungefutwa tu hizo fedha ziingizwe kwenye ruzuku ya bidhaa za msingi kama Sukari, mafuta, Mbolea nk
Wanufaika sa Tasaf ni hao hao wafanyakazi wa Tasaf
Tasaf ni utapeliMtu anapewa elfu 22 baada ya miezi 3 ni mambo ya kijinga sn
Hata kama ingekuwa ni kweli yaani mtu unampa elfu 22 baada ya miezi 3 serious? ni mradi ya kijinga umejaa wizi tupuTasaf ni utapeli
Wanufaika ni watumishi na wafanyakazi wa hiyo taasisi
Mwaka 2020 wilayani Hai Kilimanjaro walikaguliwa wanufaika ilikua kituko