Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Machogootukumbushe mkuu alipotukana, ni vyema ukasupport na video au ujumbe wake wamatusi kwetu Watanzania aka washenzi wa bara ( kwa sauti ya kipemba)..
Ok ahsante kwa taarifa.Nimesitikana sana kusikia Zuhura Yunus kaletwa ikulu sijui hata wanausalama wanaogopa kushauri
MTU aliitukana sana Tanzania Leo hangaya anamleta.
Inauma sana ndiyo maana watu wanajiunga misituni because mambo ya ajabu kama
Usalama wa Taifa huwa ni ngumu sana kuolewagaMkuu acha kilalamika mbona chaz hilari mbara yule kwenda kuwa msemaji wa ikulu SMZ, .....
Mm kinachoniuma zaidi ni ya kuwa Zujura ni single lady mpaka.leo ?
ameshiba kiporo cha makande anakuja kujamba jamba mtandaoni😀😀😀😀😀 hana ubavu, maneno tu ya mkosaji mkuu!
M zenji yuleMkuu acha kilalamika mbona chaz hilari mbara yule kwenda kuwa msemaji wa ikulu SMZ, .....
Mm kinachoniuma zaidi ni ya kuwa Zujura ni single lady mpaka.leo ?
Mbona wengi tu wameolewa ...sema tu tu bibie usikute ni lesUsalama wa Taifa huwa ni ngumu sana kuolewaga
Haya bhana! Umenena ya moyoni.Hakuna mtu aliyekuaga mdini km mwenda zake angalia Baraza lake la mawaziri na vigogo wake Ila Muslims hawakua wakilalamika.Acheni ulalamishi nchi yetu sote
Vipi bado unaendelea na utangazaji uchwara siku hizi?Baadhi yenu hamjui hata taratibu za chumba cha habari..mnaishia kutukana Watayarishaji/ Watangazaji...acheni mihemko..we unamjua Mhariri wake? Una ushahidi wowote? Unadhani maswali anatoa yeye kichwani tu ama kuna fanyika vikao vya briefing kabla kipindi/ show haijaenda hewani? Acheni uswahili bhana, Kwako matusi ni nini? 'Alipotukana' kama unavyotaka kutuaminisha ulichukua hatua gani? Unajua kanuni za utangazaji za Tanzania? Kwanini huioni V.O.A Swahili sikuhizi? Una nufaika nini unapomsagia mtu 'kunguni' kwa hisia zako ambazo hazina uthibitisho? Ok, Alitukana, kwahiyo unataka kutuambia nini? Mantiki ya 'uzi huu' wa kipuuzi ni kama unataka kulipa kisasi juu ya teuzi yake? Retaliation sio? ..mna boa! Mods Pigeni spana hawa wazushi, wanashusha credibility..
Hii code yako chenga Kama Nyarandu tuUnajidanganya, mazoea hayana Tiba.
ZUHURA YUNUS = HOYCE TEMU.
Discuss!
Sio kazi yako! Halafu nnilisha 'graduate' hizo ;stages za bullying..wewe tu kaka kama una muda ni provoke mi niongeze siku za kuishi mwanangu!😀Vipi bado unaendelea na utangazaji uchwara siku hizi?
kama aliyetoka ni muislam na aliyewekwa ni muislam je pint ya dini inaingia wapi hapo?udini mwingi
Tangu lini Hillary Ni mbara/chogo?Mkuu acha kilalamika mbona chaz hilari mbara yule kwenda kuwa msemaji wa ikulu SMZ, .....
Mm kinachoniuma zaidi ni ya kuwa Zujura ni single lady mpaka.leo ?
Huu uzi ngoja nione mwisho wenu! Mkikwama mtani 'consult' PM😀Tangu lini Hillary Ni mbara/chogo?
Kama ulikuwa unaangalia taarifa zake basi nafikiri jibu unalo na unalijua ila kama ulikuwa huangalii hapo nafikiri itachukua mda mrefu na mambo mengi kukuelezea, ila ningekuomba kunifanyia kitu kimoja kizuri; tafuta Youtube kama kuna critic yeyote ile ambayo Zuhura Yunus na Salim Kikeke wameitoa kwa nchi yao England?Alichalenji vipi na kuwa mpinzani wa serikali embu fafanua,BBC ni kutoa habari siyo mapambio.
Kwani alikwambia anataka nafasi?Vipi mzee mbona wanakusahau sana hizi nafasi au haujiongezi?
[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]Dah! Pole sana ndugu tatizo dini yako kikwazo.
Fafanua udini upo kivipi. Toa takwimu, sio unapiga porojo tuudini mwingi
Hasa kwanini serikali haikumpiga marufuku kukanyaga Tanzania na kipindi cha uchaguzi alitupasha habari kama kawaida akiwa Tanzania.Kuhusu jina unamfahamu Afande mmoja alikuwa anaitwa Advera Senso,siku hizi ni mkuu wa Wilaya moja kanda ya ziwa na anaitwa Advera Bulimba.Kama ulikuwa unaangalia taarifa zake basi nafikiri jibu unalo na unalijua ila kama ulikuwa huangalii hapo nafikiri itachukua mda mrefu na mambo mengi kukuelezea, ila ningekuomba kunifanyia kitu kimoja kizuri; tafuta Youtube kama kuna critic yeyote ile ambayo Zuhura Yunus na Salim Kikeke wameitoa kwa nchi yao England?
Mbili identity ya huyu mtangazaji ambaye anajulikana kama presenter wa BBC ki-profession, haijulikani. Inakuwaje mda wote huo aiitwe Zuhura Yunus na sasa Zuhura Yunus Abdalah? Hili jina la Abfalah linatumika kivipi na kwa vigezo gani?
Huyu mwanamke, nafikiri watazania wengi mtakuwa mmesahau, alikuwa anatoa taarifa mbovu sana kuhusu sakata la Serikali ya Tanzania na Kampuni ya BARRICK Gold, kiasi kwamba kuna siku alifanya dhahiri kitendo cha kuwapotosha wasilikzaji kwa ku-divert story ya majadiliano yaliyokuwa yakifanyika kati ya serikali ya Tanzania na kampuni ya BARRICK Gold nchini kwa kuhojiana na mtanzania aliyesadikika kama ni mbobebezi katika mambo ya mikataba kama hii huko Canada.
Huyu mtangazaji alikuwa mstari wa mbele sana kwenye kuwapotosha matajiri dunuani walio taka kuwekeza nchini kwa taarifa zake za habari ambazo zilijaa negativity juu ya policy ya nchi yetu, alafu leo tutegemee mtu kama huyu kweli kuibariki nchi yetu ipate mafanikio ya kiuchumi?
Watanzania mnafanya utani na nchi yenu au maisha yenu sio? Mnafikiri huyu mama anauchungu na nyie kweli?