Rais Samia amteua Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu kupangiwa kazi nyingine

Kwani mimi ni serikali? Iukize serikali. Kwanza nafikiri umesha ona. Mkuu wa serikali amemteua kuwa mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu. Sasa unategemea mimi kidampa nifanye nini?
 
Huyo Haniu alikua analeta press release zina typo nyingi sana.

Pia watueleze why wamchukue Zuhura sababu ametoka kumaliza mkataba juzi je hakukua na watu waliopo huko nyumbani na wenye uzoefu ?

Ushkaji uendelee...
Mawasiliano na exposure nayo muhimu, sio shule msingi mpaka unastaafu wewe upo danganyika tu.
Waandishi na wasomi wetu wengi communication skills ni changamoto, hata lugha fasaha ya kiswahili tu ni shida, kiingereza kinagonga ugokoni, swanglish ndio imejaa na mivyeti ya kukariri darasani.
Yaani wasomi wa kitanzania ni fedheha tupu, nchi ya waswahili , bado kwenye l anaweka r, kwenye m anaweka n, kwenye anakali sauti anapuyanga tu, Tafsida zero, tashtiti zimekwenda halijojo, hajui kishazi wala nahau, kazi kujejeana tu maofisini ???
Hivi mumepata kuwasikia akina David Wakati, uncle J nyaisanga, Charles hillary, tido muhando , Chama Matata, Kipozi na huyu Zuhura Yunusu wanavyotongoa kiswahili na kiingereza?
Nendeni mkatafute clips zao na audio
 
Inakuwaje mda wote huo aiitwe Zuhura Yunus na sasa Zuhura Yunus Abdalah? Hili jina la Abfalah linatumika kivipi na kwa vigezo gani?
Sijajua point yako hapo nini. Ni wewe tu ndio ulikuwa hujui kuwa anaitwa Zuhura Yunus Abdallah. Ni kwa vile mmemjua zaidi katika kipindi akiwa BBC ambapo binafsi sijawahi kusikia mtangazaji wao yoyote akitambulishwa kwa majina matatu ukimtoa Chama Omari Matata. Hata Charles Bilal, si wengi waliokuwa wakijua jina lake la 3. Salim Kikeke jina lake la 3 ushalisikia likitajwa huko BBC? By the way huenda wewe ni mdogo lakini baba yake mbona alikuwa mwanajeshi wa JW (Kanali Yunus Abdallah). Usichojua wewe si kwamba hakijulikani na wengine.
 
Sijui kama utaeleweka wakati huu, wa ....kuchukua hatamu.
 
Nimesitikana sana kusikia Zuhura Yunus kaletwa ikulu sijui hata wanausalama wanaogopa kushauri
MTU aliitukana sana Tanzania Leo hangaya anamleta.
Inauma sana ndiyo maana watu wanajiunga misituni because mambo ya ajabu kama
Hiyo ya watu kuingia msituni ndio habari . Hebu anza na hiyo😁
 
Ndugu punguza chuki na ujielimishe kwanza kabla hujaleta matapishi yako hapa. Unawajua watangazaji Bi Zawadi alikuwa tbc na yule Regina alikuwa itv wakitumia majina gan walipokuw apa na saivi wanatumia majina yapi?
 
Haniu alishindwa kuichangamsha kurugenzi yake, anatakiwa kuwa pro active, kumbrand Rais na mambo anayofanya kwa Taifa,yeye alikuwa anasubiri hafla tu
toka ile barua yake ya kwanza aliyochanganya times new romans na tahoma, mixer ya font 12 na 14 nilijua tu hapa shughuli imeisha
 
Nimesitikana sana kusikia Zuhura Yunus kaletwa ikulu sijui hata wanausalama wanaogopa kushauri
MTU aliitukana sana Tanzania Leo hangaya anamleta.
Inauma sana ndiyo maana watu wanajiunga misituni because mambo ya ajabu kama
Acha uzembe wewe kafiri,udini na ukabila utakusaidia nini

Na kwa nini yule mungu wenu alivokua akijaza wasukuma wenzenu na wakristo ulikua hupanui domo lako
 
Bila ushahidi wa voice au video clip yenye maneno kama ya Afande Sele, huu ni uzushi na upashkuna!
Tena cha kusikitisha utakuta mwandishi ni jinsia ME
 
Cha muhimu ni ufanisi wake haya ya uzalendo ni unafiki mtupu.

Wameshawahi kuajiriwa watanzania wa asilimia 100 na wakaishia kuwa wezi tu na ufanisi mdogo wa kazi.

Huyu huyu Zuhura anaifaa ikulu yenye kutaka ubunifu.
 
Nimesitikana sana kusikia Zuhura Yunus kaletwa ikulu sijui hata wanausalama wanaogopa kushauri
MTU aliitukana sana Tanzania Leo hangaya anamleta.
Inauma sana ndiyo maana watu wanajiunga misituni because mambo ya ajabu kama
Acha kukurupuka
 
Nimesitikana sana kusikia Zuhura Yunus kaletwa ikulu sijui hata wanausalama wanaogopa kushauri
MTU aliitukana sana Tanzania Leo hangaya anamleta.
Inauma sana ndiyo maana watu wanajiunga misituni because mambo ya ajabu kama
Wazanzibari wakijazana bara kuna ubaya gani?

Mbona wasukuma walijaa ikulu enzi za JPM na tukaona poa tu?.

Ufanisi wake ni muhimu zaidi kuliko asili yake.
 
Haya bhana! Umenena ya moyoni.
Kweli Ila watu walikua kimyaa tujifunze kukubali mabadiliko kila MTU na watu wake...Magu baraza la mawaziri alijaza Kanda ya Ziwa tupu!!wasukuma ndo waljaa kila sehemu ajira zilikua zinatolewa kimya kimya na watu walikua kimya...
 
Mkuu yani ni bora ukanyimwa vitu vyote kuliko unyimwe Akili. Mlata mada hana Akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…