Pre GE2025 Rais Samia amteue Katibu Mkuu John Mnyika awe Kamishina Tume Huru ya Uchaguzi. Ameonesha uwezo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hayo ni kwenye vyeo vya kisiasa vya kupigiwa kura sio vya kitaalamu kama ukamishina
Ukamishina una utaalamu gani? Mwal wa Sekondari anakuwa kamishina au Afisa wa Kodi anayeuliwa muhimu uwe chawa wa mama tu
 
Mnyika aachane na CDM seriously?

Sasa mnataka watu wote wa Opposition wapewe vyeo serikalini then muanze upya?
Ili akapotelee ccm ,kijana wa hovyo kabisa
Hii sera ukiaply katika maisha yako utakua mzee wa hovyo sana,mwenye kupambania na haki hanyong'onyezwi bali anapewa nguvu ili aendelee kupambania haki
 
Ili akapotelee ccm ,kijana wa hovyo kabisa
Hii sera ukiaply katika maisha yako utakua mzee wa hovyo sana,mwenye kupambania na haki hanyong'onyezwi bali anapewa nguvu ili aendelee kupambania haki
Ok
 
Hilo jina Tume huru tayari limeongeza uhuru wa kuchagua na ukweli, CCM haiwezi kuiba kura ila dola ndiyo inalazimisha.
 
Mnyika aachane na CDM seriously?

Sasa mnataka watu wote wa Opposition wapewe vyeo serikalini then muanze upya?
Mtoa post anajiburudisha tu. Kulikuwa na Uchaguzi gani wa kupigiwa mfano hapo zaidi ya kutukanana? Kwani nami hajui kuwa Mbowe kasusa ndio maana kwenye Kikao cha Kamati Kuu kilichokaa Bagamayo hakwenda? Ilikuwa coincidence?
 
Akiteuliwa tu huo "uwezo" utatokomea kusikojulikana chap sana. Utakuta kawa kama "jecha" tu😄
 
Naona Mnyika baada ya kuona Chadema hakina hela baada ya Mwamba nwenye Pesa Mbowe.Kuondoka anajipigia debe humu kutafuta ajira akale wapi

Elimu ya mnyika pia changamoto..Watu mkiambiwa msome muwe mnaelewa
.Ujanja janja bila elimu una mwisho wake
Dunia ya sasa haitegemei wasomi, bali inataka watu wabunifu. Huko serekalini ndio kunatakiwa wasomi maana hao hawako huru, hivyo huweza kufuata chochote wanachoagizwa bila kuhoji. Lakini wabunifu husimamia wanachoamini.
 
Mtoa post anajiburudisha tu. Kulikuwa na Uchaguzi gani wa kupigiwa mfano hapo zaidi ya kutukanana? Kwani nami hajui kuwa Mbowe kasusa ndio maana kwenye Kikao cha Kamati Kuu kilichokaa Bagamayo hakwenda? Ilikuwa coincidence?
Wafuasi wa Mbowe tulieni Uchaguzi umeshaisha
 
Mnyika aachane na CDM seriously?

Sasa mnataka watu wote wa Opposition wapewe vyeo serikalini then muanze upya?
Hii ni nchi ya wote wa CCM na ukinzani.Akiteuliwa hatakiwi kukataa agizo la amiri jeshi mkuu.Atafokewa sana kwa utovu wa adabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…