Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #41
Kwa karne nyingi sana habari hizi zitadumu.Hakika, nimerudia kusoma. Historia imeandikwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa karne nyingi sana habari hizi zitadumu.Hakika, nimerudia kusoma. Historia imeandikwa.
🤣🤣🤣Hahaha......Tume ya Uchaguzi jna makamishina Saba kama wajumbe. Yeye atakuwa mmoja wao.
Kuwa neutral siyo vigumu, wapo watu wengi sana wanaweza kusimamia uchaguzi na kesho yake saa 4 matokeo yote ywe yameshajulikana.Ila mkuu CDM na viongoz wake ni muda wa kuacha tamaa za vitu vidogo vidogo...
La COVID halijaisha bado, na waunga juhudi wote wanampango kabambe wa kuendelea ku enjoy utawala wa CCM...
Ndio tumpeleke huko na JJ pia?
Wapo watanzania wengi tu wenye sifa na wanaweza kufanya hivyo...
Pale CDM mazingira yali msapoti sana ... Uchaguzi wa nchi nzima katika mazingira ya sasa na katiba yetu ni ngumu kuwa neutral
Inawezekana. As long as unaangalia Kazi ya Mungu na Si kazi ya TumboKuwa neutral siyo vigumu, wapo watu wengi sana wanaweza kusimamia uchaguzi na kesho yake saa 4 matokeo yote ywe yameshajulikana.
Kumbe? Sasa post yako hii ina maana gani wakati uchaguzi ushaisha?Wafuasi wa Mbowe tulieni Uchaguzi umeshaisha
Na Masters kutoka ESAMIAna digrii toka chuo kikuu cha ushirika Moshi
Usilinganishe uchaguzi wa matusi na uchaguzi mkuuHistoria imeandikwa, historia imevunjwa chini ya Mh John John Mnyika Katibu Mkuu wa Chadema.
Mnamo Tarehe 21 January 2025 kulifanyika uchaguzi Mkuu katika Chama Hicho. Uchaguzi huo ulijaa kashi kashi za kusigana kati ya miamba miwili katika chama kikuu cha upinzani Nchini Tanzania.
Awali ilionekana kutokana na moto mkali huenda uchaguzi huo usifanikiwe kwani dalili nzito zenye viashiria hatari vilianza kuonekana katika makundi mawili au matatu ya ushindani.
Upande mmoja ukiwa ni wa Anayemaliza Nafasi ya Mwenyekiti Taifa, Upane wa aliyekuwa Makamu mwenyekiti na Wengine wakiwa hawana Upande wowote.
Nchi na vyombo vya nchi vilisimama, vilikaa chonjo, vikalala tongo macho yaani Sleeping Eye Open. Wengine wakisema baada ya uchaguzi huo Chadema unajifia kifo cha mende iwe kashinda mwenyekiti au Makamu.
Upande wa serikali walijiandaa kweli kweli. Pongezi kwa wahusika.
Hata Hivyo JJ Mnyika akaonesha ukomavu, kipaji, uwezo, ujuzi na maarifa kama. Katibu Mkuu aliyekuwa Mwamba ktk uchaguzi huo. Akiwa ndiye Mtendaji Mkuu na msimamizi wa shughuli zote za Uchaguzi.
Nchi ilizizima, Nchi ilijaa hofu, asiwepo wakujua nini kitatokea hapo wakati na baada ya uchaguzi.
Hakika Historia imeandiwa!
Basi wakaalikwa Maustadhi, Mashekhe, Mapadre, Maaskofu na Mafadha. Mialiko ikavuka mipaka ya afrika mashariki, wakaja wageni kutoka Rwanda, Uganda, Kenya, kongo pia haikuachwa nyuma.
Mialiko.ya watu mashuhuri ikafanyika ikavuka Nchi na Mabara, Korea wakaja, Urusi wakawepo, Wachina pia😅
Mabalozi kila rafikinna muhisani akawiwa kuhudhuria, yayumkinika hata wale ambao wahakupewa Mwaliko basi waliomba wenyewe waje washuhudie. Walivutiwa na mchakato.
EU, United States, SADC, EAC, mabalaza yote ya haki na amani Tanzania yaliomba kuhudhuria na yakapewa nafasi.
Hili jambo sio la kawaida hata kidogo. Rudia kusoma tena.
Basi tuseme nini Juu ya Kiongozi Huyu JJ Mnyika? Kama mlikuwa hamjaona Kipaji chake, uwezo na umahiri wake basi umeonekana na tunajaribu kuwaonesha. Mnasubiri Nini?
Kwa Heshima Na Taadhima, Tunamuomba Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan amteua Kijana Huyu Akaitumikie Nchi. Ampe ukamishina katika Tume Huru Ya Taifa ya Uchaguzi, mamalaka anayo.
Maendeleo hayana Vyama.
Mungu Ibariki Tanzania Mungu Mbariki Rais Samia.
Yaani alambishwe asali, au anunuliwe?Historia imeandikwa, historia imevunjwa chini ya Mh John John Mnyika Katibu Mkuu wa Chadema.

Hapana, akaoneshe uwezo na kulisaidia TaifaYaani alambishwe asali, au anunuliwe?
HatersUsilinganishe uchaguzi wa matusi na uchaguzi mkuu
Historia imeandikwa, historia imevunjwa chini ya Mh John John Mnyika Katibu Mkuu wa Chadema.
Mnamo Tarehe 21 January 2025 kulifanyika uchaguzi Mkuu katika Chama Hicho. Uchaguzi huo ulijaa kashi kashi za kusigana kati ya miamba miwili katika chama kikuu cha upinzani Nchini Tanzania.
Awali ilionekana kutokana na moto mkali huenda uchaguzi huo usifanikiwe kwani dalili nzito zenye viashiria hatari vilianza kuonekana katika makundi mawili au matatu ya ushindani.
Upande mmoja ukiwa ni wa Anayemaliza Nafasi ya Mwenyekiti Taifa, Upane wa aliyekuwa Makamu mwenyekiti na Wengine wakiwa hawana Upande wowote.
Nchi na vyombo vya nchi vilisimama, vilikaa chonjo, vikalala tongo macho yaani Sleeping Eye Open. Wengine wakisema baada ya uchaguzi huo Chadema unajifia kifo cha mende iwe kashinda mwenyekiti au Makamu.
Upande wa serikali walijiandaa kweli kweli. Pongezi kwa wahusika.
Hata Hivyo JJ Mnyika akaonesha ukomavu, kipaji, uwezo, ujuzi na maarifa kama. Katibu Mkuu aliyekuwa Mwamba ktk uchaguzi huo. Akiwa ndiye Mtendaji Mkuu na msimamizi wa shughuli zote za Uchaguzi.
Nchi ilizizima, Nchi ilijaa hofu, asiwepo wakujua nini kitatokea hapo wakati na baada ya uchaguzi.
Hakika Historia imeandiwa!
Basi wakaalikwa Maustadhi, Mashekhe, Mapadre, Maaskofu na Mafadha. Mialiko ikavuka mipaka ya afrika mashariki, wakaja wageni kutoka Rwanda, Uganda, Kenya, kongo pia haikuachwa nyuma.
Mialiko.ya watu mashuhuri ikafanyika ikavuka Nchi na Mabara, Korea wakaja, Urusi wakawepo, Wachina pia😅
Mabalozi kila rafikinna muhisani akawiwa kuhudhuria, yayumkinika hata wale ambao wahakupewa Mwaliko basi waliomba wenyewe waje washuhudie. Walivutiwa na mchakato.
EU, United States, SADC, EAC, mabalaza yote ya haki na amani Tanzania yaliomba kuhudhuria na yakapewa nafasi.
Hili jambo sio la kawaida hata kidogo. Rudia kusoma tena.
Basi tuseme nini Juu ya Kiongozi Huyu JJ Mnyika? Kama mlikuwa hamjaona Kipaji chake, uwezo na umahiri wake basi umeonekana na tunajaribu kuwaonesha. Mnasubiri Nini?
Kwa Heshima Na Taadhima, Tunamuomba Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan amteua Kijana Huyu Akaitumikie Nchi. Ampe ukamishina katika Tume Huru Ya Taifa ya Uchaguzi, mamalaka anayo.
Maendeleo hayana Vyama.
Mungu Ibariki Tanzania Mungu Mbariki Rais Samia.
Ukiwa mwenye akili na unayetumia akili vizuri viongozi wa CCM HAWAWEZI KUKUKABIDHI RUNGU.Historia imeandikwa, historia imevunjwa chini ya Mh John John Mnyika Katibu Mkuu wa Chadema.

DuuhUkiwa mwenye akili na unayetumia akili vizuri viongozi wa CCM HAWAWEZI KUKUKABIDHI RUNGU.
Tena ambavyo sasa hivi CCM woooote ni mateka wa chura na wamefichwa kizimukazini hata KUKOMBOLEWA WANAOGOPAAAAAAAAAAA!