Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Ni kwa vile hujafanya kazi karibu naye.Mfugale Yuko very much overated
Kwa hiyo uchapa kazi wake ndiyo umempa hadhi ya msiba wa Kitaifa..!!?Ni kwa vile hujafanya kazi karibu naye.
Jamaa alikuwa proffessional na principled.
Hilo limeshuhudiwa na Kadogisa wa TRC na kijana Dr wa UDART
Rais Mwinyi alisema, ukishaondoka duniani unaacha kitabu cha kupendeza kusoma kwa waliobaki dunianii.Kwa hiyo uchapa kazi wake ndiyo umempa hadhi ya msiba wa Kitaifa..!!?
Haswaaa!!!"Maisha ni hadithi, angalia namna unavyoiandika hadithi Yako " - Rais Mstaafu Mwinyi.
Kwa kweli Mama Samia amepatia sana kutumia Neno La Mungu kuwafariji wafiwa na waombolezaji.View attachment 1838548
Nimefarijika na moyo wa Mama Samia, kweli moyo wake una Bwana Mungu ndani yake.
Jana wakati wa kumuaga Eng. Patrick Mfugale alitumia Neno toka Biblia Takatifu, Neno liloleta faraja kwa waombolezaji wengi pale Karimjee.
Alisoma kutoka kitabu cha Joshua 1:9
"Je, si mimi niliyekuamuru uwe jasiri na imara? Basi uwe jasiri na imara. Usitetemeke wala kuogopa, kwa maana mimi Yehova Mungu wako nipo pamoja nawe mahali popote utakapoenda.β
Neno hili la kumsindikiza Eng Mfugale limepoza wengi katika utekelezaji wa kazi za serikali, kwamba na Bwana Mungu yuko pamoja nao.
Amen.
Hivi walisema(zingatia hapo walisema,inasemekana)alianza kuwavimbia na kuwapandishia mabega wakuu wake baadhi!π€π€π€π€π€Ni kwa vile hujafanya kazi karibu naye.
Jamaa alikuwa proffessional na principled.
Hilo limeshuhudiwa na Kadogisa wa TRC na kijana Dr wa UDART
Wakubwa wasio na uelewa wanaweza amrisha jua kesho liamkie magharibi!Hivi walisema(zingatia hapo walisema,inasemekana)alianza kuwavimbia na kuwapandishia mabega wakuu wake baadhi!π€π€π€π€π€