Rais Samia Amuapisha Zuhura Yunusi kuwa Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu

Huku jf watu tunatoa hoja kuisadia nchi.... taarifa peleka huko kwenye magazeti.
 
Kumbe huyu bibie wa BBC yupo ofisi moja na Ridhiwan wanakula keki ya taifa. Kazi iendelee
 
Mume ni Katibu Mkuu utalii mke ni naibu KM, Rais mtoto wake ni mbunge na mkwe ni Waziri, famili ya Kikwete imejaa halafu sisi tunaambiwa tujiajiri na kusifia, jinga kabisa
 
Huyu shetani hana akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…