Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Labda akaibe, hayatoe wapi?Lucas nataka maparachichi ya huko Mbeya huku kila nikinunua maparachichi hayana ladha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda akaibe, hayatoe wapi?Lucas nataka maparachichi ya huko Mbeya huku kila nikinunua maparachichi hayana ladha
Unampenda sana Lucas! Kila uzi wake upo unajisikia raha ukichit chat nae🤸Labda akaibe, hayatoe wapi?
Wala siwezi kumpenda mtu mjinga kama huyo, huwa nachangia kama navyofanya kwa wengineUnampenda sana Lucas! Kila uzi wake upo unajisikia raha ukichit chat nae🤸
Huku jf watu tunatoa hoja kuisadia nchi.... taarifa peleka huko kwenye magazeti.Ndugu zangu Watanzania,
Hii leo June 13 Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, Akiwa katika Ikulu ya Chamwino Dodoma amefanya uapisho wa viongozi mbalimbali aliowateua siku chache zilizopita.Uteuzi ambao uliteka mijada mbalimbali ya kisiasa hapa Nchini.
Ambapo katika uapisho huo ameweza Kumuapisha Mheshimiwa Zuhura Yunusi Abdallal kuwa Naibu katibu mkuu ofisi ya waziri Mkuu(kazi, vijana, ajira na wenye Ulemavu), Muandishi na mtangazaji Nguli aliyefanya kazi kwa mafanikio makubwa sana katika kituo cha utangazaji cha BBC Uingereza, na kujijengea heshima kubwa sana Duniani kwote .kutokana na umahiri wake wa kutangaza na kusimamia maadili ya taaluma yake.
Mheshimiwa Zuhura Yunus Abdallal kabla ya uteuzi huo alikuwa ni Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Rais Ikulu,kazi aliyoifanya mpaka June 6 alipobadilishiwa majukumu na kuhamishiwa katika nafasi ya Unaibu katibu Mkuu wa ofisi ya Rais(kazi,vijana,ajira na wenye ulemavu). Nafasi ambayo naamini ataifanya kwa ufanisi Mkubwa na kutimiza matarajio ya Mheshimiwa Rais kumpatia nafasi hiyo.hasa kwa kuzingatia kuwa ni wizara inayowagusa vijana ambalo ndilo kundi kubwa hapa nchini.
kundi linalohitaji kuangaliwa kwa jicho la kipekee kabisa kisera ,kibajeti na kisheria,kwa kuhakikisha kuwa sera zinazotungwa zinalipatia kipaombele na kulipatia matumaini bora na hai katika ustawi wao. Mheshimiwa Zuhura ni mtu aliyeishi Ulaya na naamini anajuwa na kuelewa Dunia inakwenda vipi na nini Kiu ya vijana .hasa kwa kuzingatia UKWELI kuwa ni Msomi mzuri na hivyo naamini atawasaidia vijana wengi sana kupata fursa kupitia sera mbalimbali pamoja na kuwafungulia DUNIA vijana.hasa wakati huu ambao Dunia inapambana na changamoto hii ya ukosefu wa ajira kwa vijana.
Nakutakia kila lenye heri Mheshimiwa Zuhura Yunusi Abdallal .kafanye kazi kwa bidii ,juhudi na maarifa ili kuleta matokeo chanya kwa vijana.lakini kubwa kuliko yote ni kuwa shirikiana na kila mtu lakini usimuamini mtu yeyote yule .Narudia kukuusia kuwa shirikiana na wote lakini usimuamini mtu yeyote yule.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
=====
Pia soma: Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu
Huyu shetani hana akiliMleta mada unamkebehi Zuhura Yunus ujue huku unampigia debe Kafulila unajua unajitengenezea maadui
Zuhura Yunus alikuwa anasafiri na Raisi kutwa nje ya Nchi analipwa madola posho za safari Leo kapata cheo Cha kushinda nchini tu kusibiri mshahara wa mwisho wa mwezi pesa za Tanzania
Halafu wewe unaleta kebehi zako eti nampongeza Zuhura Yunus kuondoka namkupiga debe Kafulila achukue nafasi yake
Kwani ungekaa kimya ungeumwa malaria?