GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mr slow amekua mbele ya mda sana aisee ni haibu tupu kwa barua hii kama kweli imetoka katika mamlaka iliyompa ubalozi
 
Kati ya mambo atakayolaumiwa nayo Magufuli ni panoja na kumteua sa100 kuwa makamu wake . It was a very Big fvckng mistake
Alilazimishwa na Kwete ili apate pa kupumzikia! Sasa kama hamjui Kwete ndiye Rais wetu! Sasa hii ni akili ya wapi mimi nimejiuzulu halafu unatoka chooni na kuropoka eti umenitengua! Hopeless kabisa bora angeishia kumvua ubalozi angeeleweka!
 
atarudishiwa na Rais ajaye kama ilivyokuwa kwa Costa Mahalu
 
Kwani mtu akipewa ubalozi, mwenye kukitambua hicho Cheyo ni Serikali tuu au mteuzi

Sisi wananchi, bado tutakuwa tukimuita aliyehudumu Kama Balozi wa Tanzania nchini Cuba
Ndugu H Polepole

Hizi zingine ni mbwembwe tu za 1oos
 
Hivi kwanini jamaa kaamua kuacha fursa zote hizi ilihali bado kijana kabisa
 
Alijua litatokea hili
Most likely lakini impact ndio hizo kuvuliwa hadhi ya ubalozi huyu ni mtu wa pili,kuvuliwa hadhi ya ubalozi.
Lakini kufukuzwa kazi kwa maslahi ya umma hapa ndio maokoto yake yapo mashakani.
Kinachofuata ni kumfukuza CCM wakimaliza hilo wakiona hajatulia wanampelekea friendly warning asivuke mstari mwekundu.
Kama atakaidi inakuwa tena mwana kulitafuta mwana......
 
Angeridhia kustaafu kwake na stahiki zake akapewa.
Mkuuu ni kukomoanaa tuuu ,na kuonyesha ni jinsi gani nchi yetu inaongozwa bila kufuata sheria
Wewe mtuu amekuandikia barua ya kujiuzuluu wewe unamfuta stahiki zake kisa amekukosoa

Ukweli nii kwamba anachozungumza Polepole no kweliii kama sio kweli waje wakanushe na mwenye mamlaka ya kukanusha nii Mwenyekiti wa chamaa.


Mwisho Polepole amekosoa CCM sio serikalii.

Sasa nashangaa serikali wanafanya haya
 
Kumbe alikuwa hajajiuzuru mpaka.kutenguliwa,who is who in the sagga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…