Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Pole yake polepoleMatumizi mabaya ya pesa, umalaya, viongozi wengi wa zamani ni wajinga sana hawajui kesho.
Mfano yule balozi aliyewai kuwa waziri alafu balozi kipindi cha jk, lakini amefulia kiasi kwamba kimada wake kamfukuza anasema jamaa ni tapeli.
Ila wako wachache walio fanikiwa wana hisa ,makampuni,
We huoni Laurence Masha kafulia mpaka kaenda kutapeliwa kwa kiboko ya wachawi, ni kila MTU na utashi wake wa kutumia fursa vizuri aliyoipata kwa muda sahihi