Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,555
- 4,758
InashangazaAmetengua uteuzi wa mtu aliye jiuzulu?? Pathetic.
InashangazaAmetengua uteuzi wa mtu aliye jiuzulu?? Pathetic.
It is good for nothing nafkiri kila kitu kipo uwanjanView attachment 3432675
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametengua uteuzi wa Hamphrey Polepole, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kumuondolea hadhi ya ubalozi.
Aidha, Rais Samia, kwa mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya utumishi wa umma amemuachisha kazi Polepole kwa manufaa ya umma.
Kwa mujibu wa barua hiyo, uamuzi huo umeanza tangu Julai 16, 2025.
HAya mambo haya...unaweza kushangaza unaletewa risiti ya FedEx, sura tutaziweka wapiAibu kwa slowslow,hakutuma barua ya kujiuzulu,kunakohusika.Kaituma barua mitandaoni,badala kwa mwajiri
Tayana wangu...I miss you moreKuna vitu vinachekesha na kushangaza😂😂
Btw,miss you
Alijiuzuru mitandaoni..kwahiyo ametenguliwa kwakua ni mtoro kazini.Ametengua uteuzi wa mtu aliye jiuzulu?? Pathetic.
Kumelkucha kit.aambo, wewe tu ndio umechelewa kuamka!Kumekucha Kumekucha
Yote umejitungia. Hamna balozi anaesamehewa kodi nje ya kituo chake cha kazi nje ya nchi. Akiwa nchini, anakuwa hana tofauti na Fundi Mchundo.1. Upatikanaji wa huduma za kipekee kwenye viwanja vya ndege (kama chumba cha VIP)
2. Uwezo wa kuhudhuria hafla za kimataifa bila vizuizi
3. Uungwaji mkono wa kisheria na ulinzi wa kimataifa
4. Fursa za mitandao ya kijamii na kitaaluma na viongozi wengine
5. Uwezo wa kuwakilisha maslahi ya taifa au taasisi kimataifa
6. Upatikanaji wa taarifa za siri au za kipekee (kulingana na makubaliano)
7. Uzoefu wa kujadili na kusuluhisha migogoro ya kimataifa
8. Kuimarisha uhusiano wa kibinafsi na kitaaluma na wawakilishi wa nchi zingine
9. Kinga ya kidiplomasia
10. Msamaha wa kodi na ushuru
11. Ustawi wa kifedha
12. Uwezo wa kushawishi kimataifa
13. Fursa za ushauri na kazi za kujitegemea
14. Heshima na hadhi ya kijamii
15. Uwezo wa kufanya kazi katika mazingira ya kimataifa
16. Uzoefu wa kuongoza na kushirikiana na mataifa
Kweli akili huna! Safi nini hapo!?Safi sana.
Huyu hafai kuitwa Balozi.
Ingekuwa Nchi ya Korea wangemnyonga kabisa.
Unajielewa kweli wewe!?Kupitia Uzi huu tunazidi kuelewa ni vipi chadema wapo confused na wamepigika sana.......wanatamani wacheke lakini haichekeki, wanatamani walie lakini haililiki basi wapo wapo wanaendeleza uchezaji wao wa Ngoma wasiyoijua.
Dada!!!!Unajielewa kweli wewe!?
Kama huenjoy kwa sababu wewe sio balozi, bora ukajinyonge tu, wewe ni hasara kwa taifa!Faida ni nyingi SANA za ubalozi ikwemo. Kulindwa, connection ya mataifa MENGNE, KUTO kutozwa Kodi kwa bidha Fulani zinazo enda KWAKE. HAPO fursa ya michongo kiulaini pia huwa wanaishi kifahari SANA.
Kwishaaa
INASHANGAZA....?Mbona rais yupo nyuma ya muda hivyo!
Heri wangetafuta kichwa kingine cha habari.
Kwani alikuwa na nia ya kuitumia.??Not pathetic ni kawaida kwani asipofanya hivyo ataidai hiyo status popote atakapoenda,kwa sasa hataweza kuitimia diplomatic passport aliyonayo na privileges zake zote
Wewe jichekeshe,pata hiyo taarifaHahahahaaaaaaa!
Eti kagane🤣🤣🤣🤣🤣🤣